Nchi ipo ktk hali ya hatari, Rais kukutana na baraza la usalama la Taifa

HATUTAKI HIYO TUME YA 'WAUWAJI' KUENDELEA NA KAZI YA KUCHUNGUZA JARIBIO LA HEMED MSANGI NA TIMU YAKE KUCHUKUA UHAI WA DR ULIMBOKA!!

Siku zote Mungu HALIPWI RUSHWA na ndio maana anaendelea kuitwa Mungu. Mungu yuko upande wa WaTanzania walalahoi wote hivyo Mungu akiamua kuwaumbua wenye madaraka ndio kama hivi mambo yanavyoendelea kujitokeza kila sekunde.

Dr Ulimboka hata AKIFA LEO tayari ameachia WaTanzania wenzake ushahidi mzito ajabu. Enyi Madaktari wetu mnaonyanyaswa; watu wasiingie ovyo kwenye chumba cha mgonjwa na watoa huduma zote za kitabibu, ufagizi, chakula na kitu chochote kile wajulikane kwa VITAMBULISHO MAALUM na sahihi zao kila wakati.

Mauaji ya kijinga, chuki na visasi; hata ukiamua KUTANGAZA HALI YA HATARI na kutia baadhi ya watu ndani kwa HOFU ZAKO MWENYEWE kamwe hakutokusaidia kitu.

Dr Ulimboka ugua pole na sala za WaTanzania ziko na wewe wakati wote huu huku TAIFA LIKIENDELEA KUTOKWA NA MACHOZI ya damu wakati wote tangu mkasa ukupate.

hahaaaaa JK bwana yaani anajifanya hajui nani kamjeruhi Dr.Ulimboka !!! Jk bwana mbona unanichekeshaaaa
 
Ufafanuzi tafadhali kidogo hapo penye RED.

Siamini hata kidogo na ..haki ya nani kama ni kweli..jamaa watapumulia machine saa hizi..lakini am a bit skeptical..kama ni hivyo...mbona wamemsafirisha kwa kumtorosha whoever the name may be abdueli????
 
Anataka watoe maelezo kwa nini hawajamaliza kazi waliyotumwa. Ova
Kamanda mkuu wa mafiosso tanzania ni lazima ajadili ni kwanini vijana wake hawakufanikisha m. infact this is the first time the leader of the mafia group in tanzania has failed to achieve his occult objective of killing those who shout loudly for their rights
 
Expect Nothin zaidi ya kuwachimba biti wote waliyoshindwa kukamilisha maagizo!Ni mwendo wa Tume tu hilo baraza lilishindwa kutupa majibu kuhusu Gongolamboto na Mbagala.Iwe hili la Ulimboka?C`oon lets be serious
 
Hii ndo Tanzania,inayoongozwa na Serikali ya CCM, chini ya Mkuu JK!!
 
hahaaaaa JK bwana yaani anajifanya hajui nani kamjeruhi Dr.Ulimboka !!! Jk bwana mbona unanichekeshaaaa

Mkuu inawezekana anajifanya hajui kwani, kama hadi leo hawajui wamiliki wa RICHMOND je, atawajua watesi wa Dr Ulimmboka?

Huyu bwana, ni bingwa wa Kujifanya na siku moja Atafanywa naye!!

 
Ktk hali isiyokuwa yakawaida Rais anakikao na baraza la usalama wa Taifa! Tusubiri majibu. Mungu ibarik Tz


Katika hili nina mashaka makubwa sana na IKULU na USALAMA wa TAIFA kwani hapo kuna mchezo unachezwa siwezi amini ati rais kusitisha safari za nje ati kuna hali ya hatari nchini. Hatari hiyo ni IPI? kama sio wao kutishiana ndani kwa ndani?

Twajua kabisa usalama wa taifa unamapungufu sana na hili ndio tatizo kubwa nchini hapa Usalama wa taifa kazi yao ni kula bata kuwa watumwa na vibaraka wa watu furani wanaacha kazi zao wanaenda kutumikishwa kweli kwa minajili ya mtu furani unaacha kuwa mzalendo wa nchi yako hivi vizazi vijavyo vittatushangaaa sana jamani khaaaaa.

My Take;

Watanzania tuwemakini sana na hizi propaganda serikali na IKULU mjitambue msitupeleke peleke mtakavyo.

 
VASCO da Gama...full usanii...
Napenda nikujulishe huwezi kukaa karibu na kambi ya jeshi usiambulie kujua hata,kuweka mguu sawa,na Vasco kumbuka yupo jirani na chuo chetu cha usanii hivyo sirahisi akwa hana element
 
Wote pia ni wadhaifu sababu mnapenda kujadili vitu visivyowahusu....mnataka kujua kila kitu haiwezekani ndugu wadhaifu.....acheni kujadili ishu zisizo kuwa na umuhimu kwako ,wao wanakutana kujadili mambo mengi kitaifa haswa masuala ya sekyuriti...tuwaache wakuu wajadili.
 
pamoja na wananchi dhaifu, maana chanzo kikubwa cha udhaifu wa serikali ni udhaifu wa wananchi. Wananchi wangekuwa imara hiyo serikali isingekuwa madarakani saa hii.
wasiosoma ni chakula cha wasomi
.

hapo umenena, baba! Nakubali ni udhaifu wetu hakika, big up bro!!!![/font]
 
anakaa nao kikao ya nini wakati hao ndio majambazi wenyewe. Leo ndio Mkuu wetu wa nchi amekurupuka na kuona kua hali ya usalama wa hii nchi ni mbaya alikua wapi siku zote?

Kwavile walitaka kumchomolea dirishani pale Tegeta leo akiwa anakwenda Bagamoyo kuwanga!
 
Wote pia ni wadhaifu sababu mnapenda kujadili vitu visivyowahusu....mnataka kujua kila kitu haiwezekani ndugu wadhaifu.....acheni kujadili ishu zisizo kuwa na umuhimu kwako ,wao wanakutana kujadili mambo mengi kitaifa haswa masuala ya sekyuriti...tuwaache wakuu wajadili.

Security my arse-nal....
Watu wanapigika na hali ngumu ya maisha, bei za vyakula hazishikiki...... Wewe unasema usalama??
 
kwa kweli nawachukia hawa watu wanoitwa usalama wa taifa kwani huwa hawafanyi hayayowapasa na kufanya yasiyowapasa wananitia hasira kweli laiti wangefanya kazi zao kwa umakini bila siasa na ujinga ujinga wa kuwa vibaraka nchi yetu ingekuwa pazuri.
 
Ina maana nchi iko kwenye "state of emergence" na majeshi yetu yako stand by?au ya Dr Uli yamewachanganya?hasa kwa kusalimika.

Agenda ni kutafakari kwa nini waliotumwa kumuua Dr. Ulimboka walimwacha hai. Nasikia anataka kumwajibisha mkurugenzi wa usalama wa taifa Kwa kutuma watu incompetent.
 
Back
Top Bottom