Nchi imejaa ushabiki wa ajabu, sijui kama ipo siku tutasimama kama Taifa

yvegenc prymacov

JF-Expert Member
Jan 22, 2023
1,526
1,913
Salaam,

Kuna sintofahamu imetokea baada ya waziri Damas Ndumbaro kutoa maelekezo kwa mashabiki wa soka nchini ya kuwa inabidi Watanzania woote tusimame kwa ajili ya nchi, na upinzani wetu wa simba na yangu tuuweke pembeni kwanza, muhimu ni simba na yangu tuziunge mkono kama taifa na kwa masilahi ya nchi.

Kilichotokea ametukanwa matusi yote, na amedharirishwa utafikiri hilo amelifanya kwa masilahi yake binafsi na familia yake, au kafanya kwa masirahi ya CCM. mie ninajiuliza, ni lipi hasa kosa la Ndumbaro?

Mbona nchi nyingine huwa tuna ona jinsi walivyo wazalendo? Ninasikitika huu mpasuko na mgawanyiko wa taifa letu.
 
Kwanza jifunze kuandika unatukera kima
wewe aaaaaagh

Pili, huu uzalendo unaouzungumzia unadhani huwa unalazimishwa? Ni matendo ya serekali ndio hujenga uzalendo wa wananchi. Kwa akili yako na hao ccm unahisi unaweza shika fimbo kuwafanya watu wawe wazalendo?
 
Salaam,kuna sintofahamu imetokea baada ya waziri damas ndumbalo kutoa maelekezo kwa mashabiki wa sokq nchini,ya kuwa inabidi watanzania woote tusimame kwa ajiri ya nchi,na upinzani wetu wa simba na yangu tuuweke pembeni kwanza, mhimu ni simba na yangu tuziunge mkono kama taifa na kwa masirahi ya nchi.kilichotokea ametukanwa matusi yoote,na amedharirishwa utafikili hilo amelifanya kwa masirahi yake binafsi na familia yake,au kafanya kwa masirahi ya ccm.mie ninajiuliza,ni lipi hasa kosa la ndumbaro?. Mbona nchi nyingine huwa tuna ona jinsi walivyo wazalendo?. Ninasikitika huu mpasuko na mgawanyiko wa taifa letu.
MIchezo ina utaratibu wake na siyo vita, huwezi kumpangia mtu aipende timu gani hata kama wewe ni waziri , mimi nikilipa kiingilio nikiingia uwanjani nitajisikia wa kuzomea na wa kushangilia, duniani kote mpira upo hivyo, cheo kilimvaa akasahau mipaka ya kazi yake, hii michezo ina home and away, bahati mbaya tunamalizia away southafrica , alitaka kule southafrica watufanyaje kama tungewaletea ujinga wetu huku kwetu
Kabla hujaongea jambo fikiria kwanza ukipata mashaka ni bora ukae kimya
 
Salaam,kuna sintofahamu imetokea baada ya waziri damas ndumbalo kutoa maelekezo kwa mashabiki wa sokq nchini,ya kuwa inabidi watanzania woote tusimame kwa ajiri ya nchi,na upinzani wetu wa simba na yangu tuuweke pembeni kwanza, mhimu ni simba na yangu tuziunge mkono kama taifa na kwa masirahi ya nchi.kilichotokea ametukanwa matusi yoote,na amedharirishwa utafikili hilo amelifanya kwa masirahi yake binafsi na familia yake,au kafanya kwa masirahi ya ccm.mie ninajiuliza,ni lipi hasa kosa la ndumbaro?. Mbona nchi nyingine huwa tuna ona jinsi walivyo wazalendo?. Ninasikitika huu mpasuko na mgawanyiko wa taifa letu.
Mfumo ndio umejenga hivyo maama siku watu wakisimama Kama Taifa basi ndio mwisho wa sisiemu kutawala,hiyo ndio devide and rule inavyofanya kazi 😂😂😂
 
Salaam,

Kuna sintofahamu imetokea baada ya waziri Damas Ndumbalo kutoa maelekezo kwa mashabiki wa sokq nchini ya kuwa inabidi Watanzania woote tusimame kwa ajiri ya nchi, na upinzani wetu wa simba na yangu tuuweke pembeni kwanza, mhimu ni simba na yangu tuziunge mkono kama taifa na kwa masirahi ya nchi.

Kilichotokea ametukanwa matusi yoote, na amedharirishwa utafikili hilo amelifanya kwa masirahi yake binafsi na familia yake, au kafanya kwa masirahi ya CCM. mie ninajiuliza, ni lipi hasa kosa la Ndumbaro?

Mbona nchi nyingine huwa tuna ona jinsi walivyo wazalendo? Ninasikitika huu mpasuko na mgawanyiko wa taifa letu.
Mambo haya ya ushabiki wa hovyo yameasisiwa na CCM yenyewe pamoja na Serikali yake. Wala usiwalaumu waliomshambulia huyo Waziri wako. Hayo ni mavuno ya kile ambacho CCM na Serikali yake ilipanda. They're reaping what they sow.
Isitoshe watu Wana Uhuru wa kushabikia kile wanachoamini kwamba kinafaa kushabikiwa.
 
Wasomi na professionals wanazidi kuhuzunisha kwa kuleta cheap politics kufaidisha matumbo yao na uchawa dhidi ya waliowateua.
Kwa kweli nina mashaka makubwa sana na elimu yetu sijui tatizo lipo wapi, utakuta mtu msomi ila anachoongea unajiuliza huyu elimu yake imemsaidia nini sasa, umbea umbea , chuki etc sijui ni poverty mentality sielewi aise
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga kichwani zinapungua Lazima.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
images (1)-1.jpeg
 
Back
Top Bottom