Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,247
Hali ilivyo sasa ktk nchi hii nadhani sijakosea kusema yakuwa tuko vitani na adui tunaekabiliana nae ni GIZA.Wakati huu ambao adui ametuzidi nguvu kamanda wetu ameondoka kwenye uwanja mapambano na inasemekana yuko Afrika ya kusin anaponda raha.Waugwana naomba mnipe mwongozo je huyu ndo kamanda aliyewahidi wa-tz kuwa atailida nchi hii wakati wa mwanga na giza?