Nchi hii inaangamia kwa kukosa viongozi wenye maarifa..

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Nchi ya Tanganyika inapotea na kuangamia kwa kukosa Viongozi wenye Maarifa.
Mawazo yao yamejawa na husda na tamaa za kuishi vizuri wao na familia na bila kumkumbuka yule wa hali ya chini.

Viongozi wamekosa uzalendo na utaifa zaidi kwa kuwatumia wachache wenye maslah nao kuliko wale walio wengi wanao hitaji ubunifu wa viongozi wao katika kupiga Hatua.

Uongozi umekuwa kichaka cha kufichia maovu na kuwaibia wenye haki na Rasmali za taifa hili.
Ni mtazamo tu wala usijenge.
 
Hukumu yao imekaribia, none of them shall go unpunished! Mark my words
 
Back
Top Bottom