Nchi haiendeshwi na mtandao ila inaendeshwa na Washirikina

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Salva Wa Ikulu anasema nchi haiendeshwi na mtandao wakati Jk kafungua facebook na kuendesha nchi.Pia wakati Shehe yahaya anatabili kuwa kuwa kuna mtu akichukuwa fomu kupambana na Kikwete atakufa,Salva huyohuyo alisema mawazo ya shehe yahaya yaheshimiwe,lakini leo great thinker wanatoa mawazo kupitia mtandao salva anayekumbatia ushirikina anapinga!
 
Back
Top Bottom