Kuelekea 2025 Nchi ambayo habari kubwa ni za kuwania kugombea nafasi za uchaguzi, ni "Failed State". Aibu ya Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa ufupi ni kuwa tupo vizuri sana katika kupiga hatua za kimaendeleo tangia tumepata uhuru.jiulize wakati tunapata uhuru tulikuwa na shule ngapi,vyuo vikuu vingapi, madaktari na walimu wangapi ,wahandisi wangapi, barabara za lami mkoa hadi mkoa ngapi.umeme ukifika kwenye mikoa mingapi na wilaya ngapi,tulikuwa na wasomi wa shahada wangapi.vipi kuhusu leo? Huoni tumefanikiwa katika kila Secta na Eneo? Kwanini unashindwa kutambua hatua kubwa ambazo zimepigwa na serikali ya CCM? Kwamba kwa akili yako hiyo hiyo iliyo nayo unashindwa kuona maendeleo tuliyo yapata? Unashindwa kufahamu kuwa suala la maendeleo ni la kimchakato?
Wewe huna akili kabisaa,watu kama wewe ndiyo adui wa nchi hii mlipaswaa kuyongwa hadharanii tenaa kwa aibu ila ole wako siku yako inakuja!!!!
 
Kuanzia wakuu wa vyombo vya usalama, idara, wasomi wabobevu plus thinktanks na manguli wa hoja mitandaoni na jamii wamejikita kwenye vision ya NANI ATAGOMBEA 2025, wengine akina Pascal Mayalla wameenda mbali zaidi kutabiri ama.kujadili nani anafaa kugombea 2030.

Kiashiria kikubwa cha nchi iliyokosa muelekeo ni kama yanayoendelea Tanzania. Wasomi wanajivua utu wao kwa kushabikia ama kufanyia uchawa wa wagombea na possibly contestants. Hebu angalia hii video hapa chini uone aibu kidogo

View attachment 2860647

Hatuna vipaumbele zaidi ya kurasa za ilani ambazo zimekaa kisiasa zaidi ya utaalam. Hatuna serza za taifa bali za vyama. Hatuna taasisi zinazosimama kama nchi bali zote ni matawi ya chama tawala.

Miradi kama SGR, MNHP na kadhalika imetawaliwa na mitaguso ya kisiasa ambapo badala ya kujikita kufanikisha tunaangalia inamjengaje mtu aweze kugombea tena.

Watu kama Lucas mwashambwa wanahesabiwa uzalendo wao kwa kuishi kama machawa waandamizi.

Nchi haina hata kiwanda cha kutengeneza sindano za kushonea, hatuna viwanda vya baiskeli na tumebaki tunaagiza mitumba na kuwauzia wananchi, nchi yenye madini ya quartz haina hata kiwanda cha kutengeneza kifaa chochote cha simu, hatuna viwanda vya pembejeo mtambuka za kilimo. Nchi inayoendeshwa kwa kushindanisha wanafunzi kupitia mitihani badala ya kupambanisha fikra bunifu kwa maendeleo mtambuka.
Nchi ambayo inatumia pesa nyingi kuagiza silaha huku ikiweka sheria kali dhidi ya raia anayeonekana anaweza kufanya ubunifu wa silaha......

Tuna wataalam wengi wa tiba mbadala na wapo treated kama walozi badala ya kuwa na programs za kuzalisha dawa zetu na wakayi huo huo soko la tiba limejazwa na dawa za asili kutoka nje ambazo zimekuwa packaged na endorsed na serikali zao.

Hii nch imepoteza mwelekeo kama Taifa, tunaishi kama kikundi cha watu wasiojitambua wanaoongozwa na wasiojitambua waandamizi. Yaani inafika mahala kila anayekosoa fikra za watawala anageuzwa kuwa muasi na adui wa taifa na tishio la usalama wa viongozi ambao kimsingi ni mzigo kwa Taifa. Angalia sheria lukuki kandamizi ikiwemo ya Makosa ya Mtandao na zinginezo zinazotoa haki kwa viongozi bila kuwawajobisha.

Hatuna la kujivunia zaidi ya Amani ambayo serikali imeshindwa kutumia amani hiyo kulileta Taifa pamoja na kuchechemiza maendeleo na uhuru kamili wa kifikra.

Teuzi zote anazofanya mkuu wa nchi zinaelemea kwenye KUSAIDIANA kuondoa hofu ya kupata mpinzani wa ndani.

Tuna Vyombo vya Ulinzi na Usalama ambavyo kisheria wanalazimika kuwa watii kwa chama na siyo kwa wenye nchi. Tuna jeshi la polisi ambalo linatumika kisiasa tofauti na kikatiba, limekuwa linaua ua raia watakavyo bila kuwajibishwa. Mataifa jirani (Rwamda) wanaingia nchini watakavyo na kuwanyakua wakimbizi waliokimbia kukandamizwa huko kwao, na haya yanafanyika mbele ya taasosi zetu za ulinzi na usalama. Hautakaa usikie Balozi wa Rwanda au yule wa Palestina ambaye anahamasisha chuki kupitia nyumba za ibada in their favor wakiitwa kujieleza ama hatua kuchukuliwa.

Rais anasimama kwa kujiamini kuwananga raia anaowaongoza ambao yeye ni sehemu yao kwamba HAWANA UFAHAMU KUHUSU KATIBA. Ujasiri huo unatokana na nchi kupoteza muelekeo maana kauli hiyo ilipaswa kuhojiwa na Bunge (oops halina guts hizo).

Mtanzania mwenzangu, ni mambo gani zaidi unayaona kama ashirio kuwa Tanzania inayumba kama nchi?

Ukitaka kuishi vizuri Tanzania hakikisha unakuwa chawa pro max wa mtawala mkuu na wasaidizi wake hakika mema ya nchi yatakuwa kwako
Ni huzuni kwa kweli.
 
Kwa ufupi ni kuwa tupo vizuri sana katika kupiga hatua za kimaendeleo tangia tumepata uhuru.jiulize wakati tunapata uhuru tulikuwa na shule ngapi,vyuo vikuu vingapi, madaktari na walimu wangapi ,wahandisi wangapi, barabara za lami mkoa hadi mkoa ngapi.umeme ukifika kwenye mikoa mingapi na wilaya ngapi,tulikuwa na wasomi wa shahada wangapi.vipi kuhusu leo? Huoni tumefanikiwa katika kila Secta na Eneo? Kwanini unashindwa kutambua hatua kubwa ambazo zimepigwa na serikali ya CCM? Kwamba kwa akili yako hiyo hiyo iliyo nayo unashindwa kuona maendeleo tuliyo yapata? Unashindwa kufahamu kuwa suala la maendeleo ni la kimchakato?
Ikiwa kila mwaka wa bajeti tunasoma ripoti za bajeti zilizopita kutotekelezwa japo kwa 50% basi ujue hayo maendeleo ni mwendo wa konokono.

Ndugu usituhadae na taarifa za kichawa. Tunajua kipimo cha mwendo tunaopaswa kwenda nao lakini hatupigi hatua inavyopaswa.

Hata jitu vivu goigoi laweza kutembea kizembe kuelekea maliwato. Nao ni mwendo
 
Huwezi pata majawabu ya maswali magumu toka kwa wapumbavu.kitendo tu Cha Wazanzibar kufaidika na fursa zilizopo Tanganyika kwa mgongo wa muungano kinaonesha upumbavu wa Watanganyika.

Na wakati huo huo Wazanzibar wakilinda fursa zao wenyewe kuwa faidisha wao,mwisho wameweza kuwatawala wapumbavu Watanganyika.Honorable causa hana Cha kupoteza maana Zanzibar inakimbia kwa mwendo wa kasi,kwa pesa za wapumbavu Watanganyika,acha achume kwa wapumbavu akajenge kwao,ndio maana kwake uchaguzi ni muhimu kuliko maendeleo na hili hata Tony kasha wahi sema "Tatizo kubwa kwa viongozi wa Afrika ni kuwaza uchaguzi kuliko kutatua matatizo ya wananchi"

"Kuna Karne itafika kwa wajinga kuwa viongozi na werevu kuwa wafuasi nadhani Karne yenyewe ndo hii"Shaaban Robert

"Tumeruhusu akili ndogo kutawala akili kubwa"Mchungaji Peter Msigwa
 
Nani kwakwambia kuwa kuna serikali yoyote hapa Duniani inayoweza kuajiri kila mhitimu wa chuo kikuu? Nani kwakwambia kuwa kila mwanafunzi anayemaliza chuo kikuu ni lazima apate ajira? Hujui kuwa kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi kwa kijana yeyote kutumia na kupata fursa ya kiuchumi itakayoinua maisha yake kama ifanyavyo serikali ya CCM? Hujui kazi ya serikali ni kutengeneza fursa za ajira kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo kama ifanyavyo serikali ya CCM? Hata hivyo serikali yetu imefanya kazi kubwa sana katika suala la ajira , ambapo imetoa maelfu ya ajira kwa vijana katika kada tofauti tofauti.
Haka kajamaa ni kamasikini ka akili na kipato huenda kanaishi Kwa shemeji,

Wenye akili tunasema Nchi Haina uongozi kuanzia ikulu mpaka Kwa mjumbe wa shina
 
Kuanzia wakuu wa vyombo vya usalama, idara, wasomi wabobevu plus thinktanks na manguli wa hoja mitandaoni na jamii wamejikita kwenye vision ya NANI ATAGOMBEA 2025, wengine akina Pascal Mayalla wameenda mbali zaidi kutabiri ama.kujadili nani anafaa kugombea 2030.

Kiashiria kikubwa cha nchi iliyokosa muelekeo ni kama yanayoendelea Tanzania. Wasomi wanajivua utu wao kwa kushabikia ama kufanyia uchawa wa wagombea na possibly contestants. Hebu angalia hii video hapa chini uone aibu kidogo

View attachment 2860647

Hatuna vipaumbele zaidi ya kurasa za ilani ambazo zimekaa kisiasa zaidi ya utaalam. Hatuna serza za taifa bali za vyama. Hatuna taasisi zinazosimama kama nchi bali zote ni matawi ya chama tawala.

Miradi kama SGR, MNHP na kadhalika imetawaliwa na mitaguso ya kisiasa ambapo badala ya kujikita kufanikisha tunaangalia inamjengaje mtu aweze kugombea tena.

Watu kama Lucas mwashambwa wanahesabiwa uzalendo wao kwa kuishi kama machawa waandamizi.

Nchi haina hata kiwanda cha kutengeneza sindano za kushonea, hatuna viwanda vya baiskeli na tumebaki tunaagiza mitumba na kuwauzia wananchi, nchi yenye madini ya quartz haina hata kiwanda cha kutengeneza kifaa chochote cha simu, hatuna viwanda vya pembejeo mtambuka za kilimo. Nchi inayoendeshwa kwa kushindanisha wanafunzi kupitia mitihani badala ya kupambanisha fikra bunifu kwa maendeleo mtambuka.
Nchi ambayo inatumia pesa nyingi kuagiza silaha huku ikiweka sheria kali dhidi ya raia anayeonekana anaweza kufanya ubunifu wa silaha......

Tuna wataalam wengi wa tiba mbadala na wapo treated kama walozi badala ya kuwa na programs za kuzalisha dawa zetu na wakayi huo huo soko la tiba limejazwa na dawa za asili kutoka nje ambazo zimekuwa packaged na endorsed na serikali zao.

Hii nch imepoteza mwelekeo kama Taifa, tunaishi kama kikundi cha watu wasiojitambua wanaoongozwa na wasiojitambua waandamizi. Yaani inafika mahala kila anayekosoa fikra za watawala anageuzwa kuwa muasi na adui wa taifa na tishio la usalama wa viongozi ambao kimsingi ni mzigo kwa Taifa. Angalia sheria lukuki kandamizi ikiwemo ya Makosa ya Mtandao na zinginezo zinazotoa haki kwa viongozi bila kuwawajobisha.

Hatuna la kujivunia zaidi ya Amani ambayo serikali imeshindwa kutumia amani hiyo kulileta Taifa pamoja na kuchechemiza maendeleo na uhuru kamili wa kifikra.

Teuzi zote anazofanya mkuu wa nchi zinaelemea kwenye KUSAIDIANA kuondoa hofu ya kupata mpinzani wa ndani.

Tuna Vyombo vya Ulinzi na Usalama ambavyo kisheria wanalazimika kuwa watii kwa chama na siyo kwa wenye nchi. Tuna jeshi la polisi ambalo linatumika kisiasa tofauti na kikatiba, limekuwa linaua ua raia watakavyo bila kuwajibishwa. Mataifa jirani (Rwamda) wanaingia nchini watakavyo na kuwanyakua wakimbizi waliokimbia kukandamizwa huko kwao, na haya yanafanyika mbele ya taasosi zetu za ulinzi na usalama. Hautakaa usikie Balozi wa Rwanda au yule wa Palestina ambaye anahamasisha chuki kupitia nyumba za ibada in their favor wakiitwa kujieleza ama hatua kuchukuliwa.

Rais anasimama kwa kujiamini kuwananga raia anaowaongoza ambao yeye ni sehemu yao kwamba HAWANA UFAHAMU KUHUSU KATIBA. Ujasiri huo unatokana na nchi kupoteza muelekeo maana kauli hiyo ilipaswa kuhojiwa na Bunge (oops halina guts hizo).

Mtanzania mwenzangu, ni mambo gani zaidi unayaona kama ashirio kuwa Tanzania inayumba kama nchi?

Ukitaka kuishi vizuri Tanzania hakikisha unakuwa chawa pro max wa mtawala mkuu na wasaidizi wake hakika mema ya nchi yatakuwa kwako
Kwenye siasa ndio kwenye maslahi Bora zaidi. Zamani tulikuwa tunatamani sana kuwa walimu wa vyuo ( maprofesa ) kwa sababu kuna heshima na hadhi kubwa ikifuatiwa na Udaktari, sasa hivi kote huko hakuna issue tena bali ubunge na vyeo vya kisiasa.

TUMEFANYA SIASA NDIO IWE INALIPA ZAIDI KULIKO KADA YEYOTE ILE TANZANIA SASA TUNAANZA KUVUNA TULICHOPANDA.
 
Kuanzia wakuu wa vyombo vya usalama, idara, wasomi wabobevu plus thinktanks na manguli wa hoja mitandaoni na jamii wamejikita kwenye vision ya NANI ATAGOMBEA 2025, wengine akina Pascal Mayalla wameenda mbali zaidi kutabiri ama.kujadili nani anafaa kugombea 2030.

Kiashiria kikubwa cha nchi iliyokosa muelekeo ni kama yanayoendelea Tanzania. Wasomi wanajivua utu wao kwa kushabikia ama kufanyia uchawa wa wagombea na possibly contestants. Hebu angalia hii video hapa chini uone aibu kidogo

View attachment 2860647

Hatuna vipaumbele zaidi ya kurasa za ilani ambazo zimekaa kisiasa zaidi ya utaalam. Hatuna serza za taifa bali za vyama. Hatuna taasisi zinazosimama kama nchi bali zote ni matawi ya chama tawala.

Miradi kama SGR, MNHP na kadhalika imetawaliwa na mitaguso ya kisiasa ambapo badala ya kujikita kufanikisha tunaangalia inamjengaje mtu aweze kugombea tena.

Watu kama Lucas mwashambwa wanahesabiwa uzalendo wao kwa kuishi kama machawa waandamizi.

Nchi haina hata kiwanda cha kutengeneza sindano za kushonea, hatuna viwanda vya baiskeli na tumebaki tunaagiza mitumba na kuwauzia wananchi, nchi yenye madini ya quartz haina hata kiwanda cha kutengeneza kifaa chochote cha simu, hatuna viwanda vya pembejeo mtambuka za kilimo. Nchi inayoendeshwa kwa kushindanisha wanafunzi kupitia mitihani badala ya kupambanisha fikra bunifu kwa maendeleo mtambuka.
Nchi ambayo inatumia pesa nyingi kuagiza silaha huku ikiweka sheria kali dhidi ya raia anayeonekana anaweza kufanya ubunifu wa silaha......

Tuna wataalam wengi wa tiba mbadala na wapo treated kama walozi badala ya kuwa na programs za kuzalisha dawa zetu na wakayi huo huo soko la tiba limejazwa na dawa za asili kutoka nje ambazo zimekuwa packaged na endorsed na serikali zao.

Hii nch imepoteza mwelekeo kama Taifa, tunaishi kama kikundi cha watu wasiojitambua wanaoongozwa na wasiojitambua waandamizi. Yaani inafika mahala kila anayekosoa fikra za watawala anageuzwa kuwa muasi na adui wa taifa na tishio la usalama wa viongozi ambao kimsingi ni mzigo kwa Taifa. Angalia sheria lukuki kandamizi ikiwemo ya Makosa ya Mtandao na zinginezo zinazotoa haki kwa viongozi bila kuwawajobisha.

Hatuna la kujivunia zaidi ya Amani ambayo serikali imeshindwa kutumia amani hiyo kulileta Taifa pamoja na kuchechemiza maendeleo na uhuru kamili wa kifikra.

Teuzi zote anazofanya mkuu wa nchi zinaelemea kwenye KUSAIDIANA kuondoa hofu ya kupata mpinzani wa ndani.

Tuna Vyombo vya Ulinzi na Usalama ambavyo kisheria wanalazimika kuwa watii kwa chama na siyo kwa wenye nchi. Tuna jeshi la polisi ambalo linatumika kisiasa tofauti na kikatiba, limekuwa linaua ua raia watakavyo bila kuwajibishwa. Mataifa jirani (Rwamda) wanaingia nchini watakavyo na kuwanyakua wakimbizi waliokimbia kukandamizwa huko kwao, na haya yanafanyika mbele ya taasosi zetu za ulinzi na usalama. Hautakaa usikie Balozi wa Rwanda au yule wa Palestina ambaye anahamasisha chuki kupitia nyumba za ibada in their favor wakiitwa kujieleza ama hatua kuchukuliwa.

Rais anasimama kwa kujiamini kuwananga raia anaowaongoza ambao yeye ni sehemu yao kwamba HAWANA UFAHAMU KUHUSU KATIBA. Ujasiri huo unatokana na nchi kupoteza muelekeo maana kauli hiyo ilipaswa kuhojiwa na Bunge (oops halina guts hizo).

Mtanzania mwenzangu, ni mambo gani zaidi unayaona kama ashirio kuwa Tanzania inayumba kama nchi?

Ukitaka kuishi vizuri Tanzania hakikisha unakuwa chawa pro max wa mtawala mkuu na wasaidizi wake hakika mema ya nchi yatakuwa kwako
Imagine umeme ni tatizo kubwa sana kwa sasa linakaribia kufilisi nchi lkn kuna watu wanacheka cheka majukwaani wakizungumzia chaguzi sijui za lini shame on you
 
Kwa ufupi ni kuwa tupo vizuri sana katika kupiga hatua za kimaendeleo tangia tumepata uhuru.jiulize wakati tunapata uhuru tulikuwa na shule ngapi,vyuo vikuu vingapi, madaktari na walimu wangapi ,wahandisi wangapi, barabara za lami mkoa hadi mkoa ngapi.umeme ukifika kwenye mikoa mingapi na wilaya ngapi,tulikuwa na wasomi wa shahada wangapi.vipi kuhusu leo? Huoni tumefanikiwa katika kila Secta na Eneo? Kwanini unashindwa kutambua hatua kubwa ambazo zimepigwa na serikali ya CCM? Kwamba kwa akili yako hiyo hiyo iliyo nayo unashindwa kuona maendeleo tuliyo yapata? Unashindwa kufahamu kuwa suala la maendeleo ni la kimchakato?
miaka 60+ TANZANIA ina wananchi wanasumbuliwa na njaa kama Wewe,

yaani 60+ bado nchi ina watu wa wenye njaa kichwan !!!!
 
Waafrika wa ngozi nyeusi Bado hawajafikia hatua ya binadamu kamili aliye staarabika.
Bado wana unyani mwingi sana.
Unyani wa kuto jiamini na kuto kuaminiana.
Wanaamini uchawa ndio kufanikiwa.
Uchawa wa kukaa kitako na kuchaguliwa ili walipwe mishahala minono na marupu × 2

Ni EPIDOMIA.
 
Ikiwa kila mwaka wa bajeti tunasoma ripoti za bajeti zilizopita kutotekelezwa japo kwa 50% basi ujue hayo maendeleo ni mwendo wa konokono.

Ndugu usituhadae na taarifa za kichawa. Tunajua kipimo cha mwendo tunaopaswa kwenda nao lakini hatupigi hatua inavyopaswa.

Hata jitu vivu goigoi laweza kutembea kizembe kuelekea maliwato. Nao ni mwendo
unapoteza muda kujadil bajeti, wakati hajui maana ya bajeti!!

yeye anajua zile namba ndo matumizi
 
Kuanzia wakuu wa vyombo vya usalama, idara, wasomi wabobevu plus thinktanks na manguli wa hoja mitandaoni na jamii wamejikita kwenye vision ya NANI ATAGOMBEA 2025, wengine akina Pascal Mayalla wameenda mbali zaidi kutabiri ama.kujadili nani anafaa kugombea 2030.

Kiashiria kikubwa cha nchi iliyokosa muelekeo ni kama yanayoendelea Tanzania. Wasomi wanajivua utu wao kwa kushabikia ama kufanyia uchawa wa wagombea na possibly contestants. Hebu angalia hii video hapa chini uone aibu kidogo

View attachment 2860647

Hatuna vipaumbele zaidi ya kurasa za ilani ambazo zimekaa kisiasa zaidi ya utaalam. Hatuna serza za taifa bali za vyama. Hatuna taasisi zinazosimama kama nchi bali zote ni matawi ya chama tawala.

Miradi kama SGR, MNHP na kadhalika imetawaliwa na mitaguso ya kisiasa ambapo badala ya kujikita kufanikisha tunaangalia inamjengaje mtu aweze kugombea tena.

Watu kama Lucas mwashambwa wanahesabiwa uzalendo wao kwa kuishi kama machawa waandamizi.

Nchi haina hata kiwanda cha kutengeneza sindano za kushonea, hatuna viwanda vya baiskeli na tumebaki tunaagiza mitumba na kuwauzia wananchi, nchi yenye madini ya quartz haina hata kiwanda cha kutengeneza kifaa chochote cha simu, hatuna viwanda vya pembejeo mtambuka za kilimo. Nchi inayoendeshwa kwa kushindanisha wanafunzi kupitia mitihani badala ya kupambanisha fikra bunifu kwa maendeleo mtambuka.
Nchi ambayo inatumia pesa nyingi kuagiza silaha huku ikiweka sheria kali dhidi ya raia anayeonekana anaweza kufanya ubunifu wa silaha......

Tuna wataalam wengi wa tiba mbadala na wapo treated kama walozi badala ya kuwa na programs za kuzalisha dawa zetu na wakayi huo huo soko la tiba limejazwa na dawa za asili kutoka nje ambazo zimekuwa packaged na endorsed na serikali zao.

Hii nch imepoteza mwelekeo kama Taifa, tunaishi kama kikundi cha watu wasiojitambua wanaoongozwa na wasiojitambua waandamizi. Yaani inafika mahala kila anayekosoa fikra za watawala anageuzwa kuwa muasi na adui wa taifa na tishio la usalama wa viongozi ambao kimsingi ni mzigo kwa Taifa. Angalia sheria lukuki kandamizi ikiwemo ya Makosa ya Mtandao na zinginezo zinazotoa haki kwa viongozi bila kuwawajobisha.

Hatuna la kujivunia zaidi ya Amani ambayo serikali imeshindwa kutumia amani hiyo kulileta Taifa pamoja na kuchechemiza maendeleo na uhuru kamili wa kifikra.

Teuzi zote anazofanya mkuu wa nchi zinaelemea kwenye KUSAIDIANA kuondoa hofu ya kupata mpinzani wa ndani.

Tuna Vyombo vya Ulinzi na Usalama ambavyo kisheria wanalazimika kuwa watii kwa chama na siyo kwa wenye nchi. Tuna jeshi la polisi ambalo linatumika kisiasa tofauti na kikatiba, limekuwa linaua ua raia watakavyo bila kuwajibishwa. Mataifa jirani (Rwamda) wanaingia nchini watakavyo na kuwanyakua wakimbizi waliokimbia kukandamizwa huko kwao, na haya yanafanyika mbele ya taasosi zetu za ulinzi na usalama. Hautakaa usikie Balozi wa Rwanda au yule wa Palestina ambaye anahamasisha chuki kupitia nyumba za ibada in their favor wakiitwa kujieleza ama hatua kuchukuliwa.

Rais anasimama kwa kujiamini kuwananga raia anaowaongoza ambao yeye ni sehemu yao kwamba HAWANA UFAHAMU KUHUSU KATIBA. Ujasiri huo unatokana na nchi kupoteza muelekeo maana kauli hiyo ilipaswa kuhojiwa na Bunge (oops halina guts hizo).

Mtanzania mwenzangu, ni mambo gani zaidi unayaona kama ashirio kuwa Tanzania inayumba kama nchi?

Ukitaka kuishi vizuri Tanzania hakikisha unakuwa chawa pro max wa mtawala mkuu na wasaidizi wake hakika mema ya nchi yatakuwa kwako
Tuko mwaka wa uchaguzi, mumekata tamaa na kukosa mgombea wa kushindana na Samia 😆😆
 
Back
Top Bottom