Nchemba naye CCM tumtazame upya

Huyu naibu katibu mkuu wa chama chetu lazima tumtazame vinginevyo atakimaliza chama.

Uchaguzi wa kata nne za udiwani Arusha, alipoenda kule upepo ukabadilika na tukapigwa 4-0.

Uchaguzi wa jana maeneo yote alikopita Nchemba wiki jana,ccm imeangukia pua
Karatu alivikwa hadi uchief lakini jana matokeo mmhhh....
Bukoba mjini penye mitaa zaidi ya 60,ukawa wamebeba zaidi ya 40.
Biharamulo, Ngara,Ukerewe na kote alikopita tena wiki jana hali ya matokeo sio nzuri hata kidogo.

Lakini jamani jamaa zangu wa humu ambao huwa tunahakikisha ccm inatetewa ilimradi kila jioni tuchukue buku saba; wako wapi tangu jana mchana?
Ritz1,Lizaboni,Faizafox,Chabruma,Simiyu yetu,Mwana Diwani,T2015CCM,n.k njooni bwana chama jf kinaangamia

Nyie si mnaangalia umati wa watu wanaokuja kuchukua tshirt na kofia? Wenzenu wajanja. Kula watakula kwako lakini kura ni siri yao.
 
Attachments

  • Faiza.jpg
    Faiza.jpg
    6.6 KB · Views: 406
Last edited by a moderator:
Nimejaa tele naona mnavyodanganyana tu, sisi twangoja matokeo rasmi, burdaan wa sharaba, hatuna wasi, ushindi tulionao ni zaidi ya wa kishindo.

Msikimbie tu matokeo rasmi yatakapotoka.

Matokeo yepi yale ya ushindi wa mezani wa mapingamizi yasiyo na kichwa wala miguu?
 
Nimejaa tele naona mnavyodanganyana tu, sisi twangoja matokeo rasmi, burdaan wa sharaba, hatuna wasi, ushindi tulionao ni zaidi ya wa kishindo.

Msikimbie tu matokeo rasmi yatakapotoka.

Huu ni uchaguzi wa Serikali za mitaa ambao matokeo yanatangazwa pale pale na msimamizi wa Uchaguzi mtaa husika.

mbivu na mbivu zimeanza kujulikana mapema.

Sasa wewe unasubiri Tume ya uchaguzi itangaze matokeo yapi tena hayo????

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Nimejaa tele naona mnavyodanganyana tu, sisi twangoja matokeo rasmi, burdaan wa sharaba, hatuna wasi, ushindi tulionao ni zaidi ya wa kishindo.

Msikimbie tu matokeo rasmi yatakapotoka.

Hahaha, mnasubiri processed matokeo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom