NCCR-MAGEUZI Sisi ni wewe na wewe ni sisi

Nicholas J Clinton

JF-Expert Member
Mar 13, 2014
877
486
NCCR-MAGEUZI

CHAMA CHA KIZAZI KIPYA.

Agenda yetu ya uchaguzi ni kuipeleka Tanzania next level, katika uchumi, maisha ya watu, huduma za jamii, tekinolojia na Demokrasia

Dah. Tanzania ya next level iwe ni ya wazalendo, yenye fikra za kujitegemea, kujiletea maendeleo yake na watu wake

Iwe ni Tanzania ambayo kila mwananchi anaji proud na kujiona ana bahati ya kuwa mtanzania

Iwe ni Tanzania inayokumbatia umoja na kuwapinga kwa nguvu zote wale wote wanaotaka kichochea migawanyiko

Iwe ni Tanzania inayoheshimu tamaduni zake na utu wa watanzania zaidi

Iwe ni Tanzania ambayo inatumikia wananchi badala ya wananchi kuwatumikia wanasiasa

Iwe ni ya Tanzania yenye wananchi wanaojua mipango, sera, mikakati mbalimbali na umuhimu wake

Tanzania inaayolinda uhuru wa watu wake na wananchi wenye kuamini ktk misingi ya taifa lao

Kiuchumi, Tanzania sharti iwe na biashara kubwa zaidi kwenda nje, iwe uchumi mkubwa zaidi Afrika Mashariki, pato la taifa likue kwa 10%,

Tanzania kufika next level, inahitaji ijenge taasisi imara na zilizohuru kwa ajili ya uakuaji wa nchi yetu. (build strong democratic institution 4country growth)

Napenda Tanzania iwe na sera madhubuti zitakazotuongoza kupata maarifa, ujuzi na uwezo wa kuingalia dunia kwa jicho la kisayansi zaidi kuliko kuongozwa na mihemko ya kisiasa na kuacha wataalam au kuwadharau

Napenda Tanzania iweke elimu kiwe ndicho kipaumbele chake cha kwanza, mfumo wa elimu yetu ubadilike na sera ya elimu pia ifanyiwe marekenisho ili ilenge mahitaji ya watanzania,

Tanzania yenye viongozi na watendaji sahihi katka taasisi za serikali, ili tuwe na taasisi na mifumo yetu ikiwa imara.

Mchakato wa ajira serikali uwe na mchujo sahihi ili kuwapata viongozi Bora na wenye maarifa, na wagunduzi wa mambo yanayojitokeza kwenye jamiii yetu ya watanzania

Tuna wajibu wa kuijenga, tena iitwayo demokrasia huru. Ili tuwe nayo, sharti tuwe na viongozi wanaoamini katika demokrasia huru.

Wakati wa interview (kampeni) tuone haja ya kuwauliza wagombea maswali, ikiwamo; je, unaamini katika demokrasia huru?

Basi kabla ya demokrasia huru, tujenge media imara isiyo nnaa upande, which is impossible

Then tuielimishe jamii ya kitanzania ijitambue, ijuee maana ya uzalendo na kuipenda nchi yao wenyewe.

Vinginevyo tuendelee na udikteta wenye uzalendo ndani mwake.

Ni kujidanganya eti tunajenga demokrasia huru wakt media za BBC CNN, nk ndo source ya most delved information, au national media group ya kenya (iite mwananchi communications) ndo media ya kuaminika zaidi ya habr, ni hatari kwa mustakabali wa hiyo demokrasia tarajali

Demokrasia huru inataka uhuru kamili wa media, lakini haina maana uhuru wa kupotosha. Inataka uhuru kamili wa kutoa maoni (sio uongo na uzushi)

Katika elimu ya Tanzania, bado tuna shule zenye upungufu mkubwa wa walimu, madarasa yenye msongamano wa watoto, na vijiji ambavyo havina shule (isipokuwa vituo shikizi vinavyoendeshwa na watu wasio na taaluma ya ualimu). Katika Tanzania ya next level, tutaondoa hali hii.

Elimu bado kunahitajika upana. Tunahitaji elimu yenye manufaa. Anayeishia la Saba,anakuwa na ujuzi fulani wa kujiajiri au kuajiriwa. Form 4 hivyo hivyo na hata form 6.

Vyuo vikuu vifundishe kwa vitendo. Mtu akimaliza chuo tyr ana ramani ya ajira.

Mf. Mhitimu wa degree ya sua, tyr anaelekea shambani moja kwa moja na faida juu huko huko. Yaaani practicals zao zinakuwa kitu halisi. Wanaenda kuambatana na wa la saba, F4, 6 na diploma

Katika uchumi: Tanzania ya sasa ina biashara kidogo ya kwenda nje ya nchi (export). Udogo huo unatokana na mengi, ikiwa ni pamoja na vikwazo wanavyokumbana navyo wafanyabiashara. Katika Tanzania ya next level, tutakuza biashara ya nje. Mikakati itahusisha kuondoa vikwazo.

Katika Tanzania ya next level, lazima tuwajali wazee wote.
Kwa sasa tunaendelea kusikia habari zinazokera masikio kuhusu wazee wanavyoteseka. Tunajionea wazee wanavyohangaishwa kupata viinua mgongo na wengine kuambulia malipo kidogo, hadi aibu.
Katika next level, lazima tukomeshe hayo.
Maandalizi ya maslahi ya mstaafu yataanza miaka miwili kabla hajatoka kazini.
Na wazee wote waliokuwa wafanyakazi au wakulima wa nchi hii watapata malipo ya pensheni, kila mwezi.
Wazee wasikuwa na familia za kuwatunza, Tanzania ya next level, itaweka utaratibu rasmi wa kuwatunza vizuri.

Tanzania ya sasa vijana wetu wengi hawana ajira na wanahaigaika sana kuzipata.
Katika Tanzania ya next level, lazima tutatue tatizo hili.
Tutaanzisha kwanza vituo vya ajira kila mkoa (job centres) ambapo kila kijana aliyefikisha umri wa miaka 17 ataandikishwa na kupewa namba ya ajira. Namba hiyo itamsaidia kuweka kumbukumbu za stadi alizonazo na atapata taarifa ya kazi anayoendana nayo. Usajili huu utasaidia hata kuweka historia ya kuajiliwa kwake.

Centre hizi zitahusika pia katika kuwasambazia vijana taarifa za nafasi za kazi. Zitaendeshwa chini ya wizara ya kazi.
Katika next level, tutafanya pia sensa ya ajira na stadi. Tutajua uwezo wa vijana wetu, wangapi na wako wapi hawajaajiriwa, na nafasi za ajira ambazo hazijajazwa ziko mahali gani ili wakazijaze. Hii ni sehemu tu ya tutakayofanya katika suala la ajira.

NCCR-MAGEUZI, Tumejiandaa kuwa na Kizazi kipya chenye ujuzi, Maarifa katika nyanja za Technologia na Sayansi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Out of TOPIC...!!!
Hiyo bendera sio ya ISRAEL??

Ngoja niendelee KUTAFUTA PESA..

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Bendera ya Israel ya nini wakati unaongolea NCCR na Tanzania?
 
Bash-shit
 
Kwa Ushirikiano Mkubwa na CCM Hakika mtaweza

Mtahangaika sana na mtateseka mno na mtapata taabu sana! Sidhani kama kuna vijana wanaweza kuunga mkono CCM "B". Nani asiyewajua nyie kunguni?
 
Chama cha upinzani kilichopata nguvu baada ya kuitwa ikulu, wala sio kwa kufanya mikutano ya hadhara wapate uungwaji mkono kwa wananchi.

Tanzania nchi ya maajabu sana.

Mleta mada hebu jitambulishe, wewe ndio una cheo gani huko NCCR?

All the best!
 
Back
Top Bottom