NCCR kuiburuza Serikali mahakamani

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
NCCR wameipa serikali siku 90 kuwa imeunda tume huru ya uchaguzi vinginevyo itaiburuza mahakamani kwani tume iliyopo sasa inakipendelea Chama Cha Mapinduzi.

Zaidi tutaona kwenye vyombo vya habari baadae
 
Kama ni kweli indeed it will be a come back of NCCR na ni heshima kubwa .I will salute you NCCR na tafadhali fanyeni kweli maana hili ndilo chaka la CCM kujibanza na kujifanya wanashinda kwa kishindo.

Naomba pia waombe matangazo ya Rais na kukimbilia kuapishwa kuwe baada ya mwezi toka Uchaguzi ili watu tujiridhishe .
 
Back
Top Bottom