Nbc yawa bank ya kiislamu

Hii ni account maalumu kwa wacheza bao, madraft na kula kashata misikitini! Itakuwaje uweke pesa humo, bils shaka ni mapango mahususi wa kufadhili magaidi

Islamic Banking, referring to a system of banking consistent with Islamic legal principles, or Sharia, is one of the fastest growing sectors in the financial world.
The sector enjoys an estimated current growth rate of 10-15%, with over 300 institutions globally managing an estimated US$500 billion of assets. 5 Islamic banks operate in the UK alone, and London is acknowledged as the centre of Islamic Banking and Finance in Europe.

Salford Business School's new MSc Islamic Banking and Finance, to be delivered in full and part time modes, will complement the School's existing postgraduate degrees in Banking and Finance by providing a solid core of general banking and financial principles together with three modules specific to Islamic Banking and Finance.

Read more: MSc Islamic Banking and Finance | Salford Business School | University of Salford - A Greater Manchester University
 
Wewe endelea kujifanya hamnazo au Bangi zako zinakupeleka pabaya?.

Mkuu habari za bange umezitoa wapi? Haya niambie mahusiano ya kusema uwongo na matusi na uislam, unaruhusiwa kunukuu aya za Quran kutoa majibu. Asante
 
Islamic Banking, referring to a system of banking consistent with Islamic legal principles, or Sharia, is one of the fastest growing sectors in the financial world.
The sector enjoys an estimated current growth rate of 10-15%, with over 300 institutions globally managing an estimated US$500 billion of assets. 5 Islamic banks operate in the UK alone, and London is acknowledged as the centre of Islamic Banking and Finance in Europe.

Salford Business School's new MSc Islamic Banking and Finance, to be delivered in full and part time modes, will complement the School's existing postgraduate degrees in Banking and Finance by providing a solid core of general banking and financial principles together with three modules specific to Islamic Banking and Finance.

Read more: MSc Islamic Banking and Finance | Salford Business School | University of Salford - A Greater Manchester University

Copy paste hizi mazee, andika kifupi na kiswahili, ilimu yangu ya Madrasa sijaambulia kitu hapa
 
kwa wale wanaoenda kuupdate taarifa zao kwenye NBC wataona jinsi gani formu zilivyoandikwa as if eeryone is opening islam banking account..............what a shame bank yenye hisa za serikali kuwa taste ya udini shameeeeeeeeeeeeeee je tuseme basi na NMB iwe na christian banking ................. imenikwaza sana na naenda kutoa mabillion yangu kule kama haitayumba.

bilionea unafanya nini humu?
 
hawa NBC hawako pro-active kabisa!

mimi mwishoni mwa mwaka jana nilikuwa nabadilisha kadi na kujaza forms lakini hawakunipa hilo wazo la updating. Kwa hiyo nimeamua sitafanya hilo zoezi na kama ni account acha wafunge, ikibidi sana nitaenda kufungua kama mteja mpya kiliko kupoteza muda wangu sasa.

Watanzania tumefika pabaya
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Islamic banking jamani sio kwa waislamu. Nenda uingereza ukaangalie inavyokuwa.mleta mada ungefanya utafiti kwanza na huko tunapoelekea karibu kila benki itakuwa inatoa hii huduma sijui mtakimbilia wapi. Kwa sasa ni Stanbic, Fbme, Pbz, NBC,KBC na Amana tayari zimeshaanza.
 
Hahaha na hili nalo linamhusu kikwete ? Kweli kuchukiwa ni kitu kibaya sana.nendeni mkasome vijarida vya banks supervision hapo BOT muone islamic banking wanaizungumziaje kitaalam.
 
[FONT=Verdana, Arial][FONT=Verdana, Arial]Wewe unayejiita mchungaji kila siku unajidhalilisha hapa ndani! unawadhalilisha wakristo wote. Wapo wakristo na mayahudi wema ambao wanazingatia maneno ya ALLAH na wanamnyenyekea...ALQURAAN-3:113[/FONT][/FONT]
Lakini wewe una akili ndogo sana...
 
...kwanza hakuna kitu kinaitwa Christian banking, pili NBC wana huduma kwa ajili ya wateja waislamu inayoitwa Islamic Banking ambayo inaendana na masharti na miongozo ya dini ya kiislamu...walichofanya hawa NBC ni kuliangalia soko la watumiaji wa huduma za kibenki kwa mapana yake, wakaona within the market kuna segment ya customers wenye mahitaji ya aina flani ambayo conventional banking/ financial institutional system haiyakidhi mahitaji hayo, ndio hao waislamu..wakaanzisha huduma hiyo ya Islamic Banking kama business strategy yao ya kufikia na kuhudumia wateja wengi zaidi ili wapate faida zaidi...benki nyingi za kimataifa zinafanya Islamic Banking now adays sio NBC tu!!....udini unao wewe sio wao...
 
kwa wale wanaoenda kuupdate taarifa zao kwenye NBC wataona jinsi gani formu zilivyoandikwa as if eeryone is opening islam banking account..............what a shame bank yenye hisa za serikali kuwa taste ya udini shameeeeeeeeeeeeeee je tuseme basi na NMB iwe na christian banking ................. imenikwaza sana na naenda kutoa mabillion yangu kule kama haitayumba.

khaaaa - tusenti twako ni kama kurusha jiwe baharini huwezi kausha bahari. KIKOROSHO KINAKUSUMBUA
 
Christians...mbona hamjiamini?

Usihofu ndugu yangu. Unajua kila mara wajinga ndo waliwawo. Hivi kama masharti ya Kiisilamu yasingekuwa yenye faidi kwa NBC unafikiri makaburu wangekubali? Acha waliwe, watakuwa masikini. Maana maandiko matakatifu yanashuhudia kwamba watu wangu waangamia kwa kukosa maarifa. Tangu lini watoto wa mama mdogo wakawa na maarifa? Utaona watakapoishia. Time will tell. Ipo siku wataanza kupiga mabomu bank kwa sababu hawajaelewa wanachoingia nacho mikataba hii leo.
 
Back
Top Bottom