Nbc yawa bank ya kiislamu

Salas

JF-Expert Member
Feb 15, 2009
382
82
kwa wale wanaoenda kuupdate taarifa zao kwenye NBC wataona jinsi gani formu zilivyoandikwa as if eeryone is opening islam banking account..............what a shame bank yenye hisa za serikali kuwa taste ya udini shameeeeeeeeeeeeeee je tuseme basi na NMB iwe na christian banking ................. imenikwaza sana na naenda kutoa mabillion yangu kule kama haitayumba.
 
Hebu elezea kwa utuo tatizo ni nini, mambo gani haya ya kuachia njiani badala ya kufikishana kileleni?
 
kwa wale wanaoenda kuupdate taarifa zao kwenye NBC wataona jinsi gani formu zilivyoandikwa as if eeryone is opening islam banking account..............what a shame bank yenye hisa za serikali kuwa taste ya udini shameeeeeeeeeeeeeee je tuseme basi na NMB iwe na christian banking ................. imenikwaza sana na naenda kutoa mabillion yangu kule kama haitayumba.

Naenda funga account pia! Hawa jamaa ni wa ajabu sana kila sehemu wanalia lia tu
 
acha kupotosha umma mkuu,nani kakwambia kuwa islamic banking ni special kwa waislaam!mi ni mkristo but nina hiyo akaunti,shame on u,ni account ambayo hela tunazo deposit zinapelekwa kweny clear investments na siyo kukopeshwa watu wenye business kama ,guest,bar,breweries n.k
 
Islamic Banking, sio Islamic Bank. ni mfumo wa ku bank kwa kufata sharia za kiislaam, haumzuii yeyote kufanya hivyo na ni mfumo mzuri tu na benki nyingi duniani wana vitengo vya Islamic Banking. Tena hata wewe unaweza kuufata kwani ni mfumo mzuri sana.

Usiogope neno Islaam, maana yake ni kujisalimisha kwa Mwenyeezi Mungu.
 
Jaman kabla hujaonyesha udini ulionao jitahidi kuwa mwelewa kwanza halafu ndio uanzishe udini wako.
 
it is not necessary to know that you are a Muslim
A public declaration of faith is a powerful way to reinforce your belief!
by then...who said is a Muslim or christian?
 
hapa wakikukwaza we cheki na benki nyingine bana, afrerall Dunia ni yako na chaguo ni lako, kama vipi kacheki na CRDB ili isijekuwa tabu kwa wakwe, mambo ya Tembo card/Master card
 
Islamic Banking, sio Islamic Bank. ni mfumo wa ku bank kwa kufata sharia za kiislaam, haumzuii yeyote kufanya hivyo na ni mfumo mzuri tu na benki nyingi duniani wana vitengo vya Islamic Banking. Tena hata wewe unaweza kuufata kwani ni mfumo mzuri sana.

Usiogope neno Islaam, maana yake ni kujisalimisha kwa Mwenyeezi Mungu.

Hii ni account maalumu kwa wacheza bao, madraft na kula kashata misikitini! Itakuwaje uweke pesa humo, bils shaka ni mapango mahususi wa kufadhili magaidi
 
acha kupotosha umma mkuu,nani kakwambia kuwa islamic banking ni special kwa waislaam!mi ni mkristo but nina hiyo akaunti,shame on u,ni account ambayo hela tunazo deposit zinapelekwa kweny clear investments na siyo kukopeshwa watu wenye business kama ,guest,bar,breweries n.k

Mie nina mabanda ya "mkuu wa meza" naruhussiwa kufungua akaunti ya kiislamu?
 
Back
Top Bottom