NBC Salary scale

sasa kuna vijamaa vya NBC daily vinakula tungi na kujirusha all month long, how are they managing that? pamba kali, mademu, wana magari na nawafahamu wapo kaunta wote, mmoja ndo sifahamu! lakini 500,000/= pm ni unfair na namna bank hizi zinavokula faida hapa tz!
 
NBC wapo watumishi wa aina mbili kwa hiyo kitengo unayoisema, lipo kampuni 'erolink' linamkataba na NBC wa baadhi ya idara, hawa wanalipwa kuanzia Tsh 450,000/= sijui wanaoajiriwa na NBC moja kwa moja

hii kitu bado sijaelewa, inamaana ukiajiriwa kupuitia recruitment agents mshahara utakuwa mdogo? kivipi? Naomba ufafanuzi tafadhali..Nilikuwasijui kama kitu cha namna hii
Pauls CRDB kuna mtu namfahamu ambaye ni graduate ameanza kazi na 600k kabla ya makato
 
Last edited by a moderator:
Cc ni jamii moja namshangaa boney e,m kuandika upuuzi umu,jamaa kaomba msaada kama ulikuwa hauna point ni bora ungelala tu,daa unaniboa mzee
 
Dah sasa je, kwa Hr na Hr assistance how much? Ila dah kwa dsm, mtu utaishia kupanga ad ufe..kwa mshahara huo dah
 
hyo 450000/= ni baada ya kukatwa makato yote au,na kwa mtu mwenye elimu gani?

kama hiyo ndiyo mishahara sijui, watu wanawezaje kujenga na kununua magari japo sec hand.
mfumo wa mishahara wa TZ unahamasisha watu wawe wezi tu.
Huwezi kumlipa graduate 450,00.......
afu asikudeal
yangu ni hayo
 
Kwa hiyo Mishahara mtu akiwa siriasi kukaanga mandazi anaweza vuka hapo kwa mwezi, tatizo ni kuzalau tu ila kwa kweli kujiajiri ndo suluhisho, bora upate hiyo 450,000 kwa mwezi kwa kazi yako kuliko kuwatukia watu wengine na unawatengenezea faida kubwa sana. haya mabenki yanatengeneza profit kubwa sana lakini kwenye mishahara ndo inakuwa kasheshe
 
Kama ukiingia NBC kupitia graduate recruitment program yao mshahara gross ni 1.3m
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom