NBC Salary scale

Babu wa Loliondo

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
323
105
Habar za asubuh wana JF
Naomben kama kuna yeyote anayejua au mwenye ufaham na Salary scale za NBC kwa Customer Care depart,division ya bank teller anijuzwe,nitashukuru sana.
 
Hajakuuliza wewe, acha kiherehere.

NBC wapo watumishi wa aina mbili kwa hiyo kitengo unayoisema, lipo kampuni 'erolink' linamkataba na NBC wa baadhi ya idara, hawa wanalipwa kuanzia Tsh 450,000/= sijui wanaoajiriwa na NBC moja kwa moja

Hiyo ni Salary ama petty cash? halafu utaishije mjini?
 
Hajakuuliza wewe, acha kiherehere.

NBC wapo watumishi wa aina mbili kwa hiyo kitengo unayoisema, lipo kampuni 'erolink' linamkataba na NBC wa baadhi ya idara, hawa wanalipwa kuanzia Tsh 450,000/= sijui wanaoajiriwa na NBC moja kwa moja

Mkuu Obe unajua na CRDB, graduate anayeanza kazi kama bank officer mshahara wake ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Obe unajua na CRDB, graduate anayeanza kazi kama bank officer mshahara wake ngapi?

Mdau Paulss, sina kiwango kamili cha nafasi hiyo, umesoma SUA nini (joke), mwaka 2009 position hiyo walikuwa wakilipa 520,000/= najua kwa sasa imepanda lakini si kwa sh. ngapi. Pamoja sana
 
Habar za asubuh wana JF
Naomben kama kuna yeyote anayejua au mwenye ufaham na Salary scale za NBC kwa Customer Care depart,division ya bank teller anijuzwe,nitashukuru sana.
Utaratibu wa Sector binafsi wanalipa kutokana na umuhimu wako na Bargaining power yako, kwa hili swali unaonyesha ni mtu wa level gani naomba nikuhakikishie kwa level yako usitegemee Netpay ya zaidi ya Tshs500,000, japo utawakuta Bankteller wenzio wenye zaidi ya Mshahara huo.
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Hajakuuliza wewe, acha kiherehere.

NBC wapo watumishi wa aina mbili kwa hiyo kitengo unayoisema, lipo kampuni 'erolink' linamkataba na NBC wa baadhi ya idara, hawa wanalipwa kuanzia Tsh 450,000/= sijui wanaoajiriwa na NBC moja kwa moja

hyo 450000/= ni baada ya kukatwa makato yote au,na kwa mtu mwenye elimu gani?
 
asante mkuu,kwa taarifa hizo ngoja niendelee kujua hao wanaoajiriwa na NBC moja kwa moja kwa wadau wengine wenye taarifa zaid
 
hyo 450000/= ni baada ya kukatwa makato yote au,na kwa mtu mwenye elimu gani?

Rejea post ya mkuu Ezan#12, utajua mengi, lakini kama umepitia chini ya agency hiyo ni kwa mtu mwenye shahada au stashahada ya juu.
 
Mdau Paulss, sina kiwango kamili cha nafasi hiyo, umesoma SUA nini (joke), mwaka 2009 position hiyo walikuwa wakilipa 520,000/= najua kwa sasa imepanda lakini si kwa sh. ngapi. Pamoja sana

Du kwa mshahara kama huo labda uwe unaishi kwa baba na mama ila kama ni kujitegemea kamwe usitegemee kujakuendelea!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom