NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
QM dhaifu...anapendha kulia lia.....

Oh kumbe mnajuana?.Basi ndiyo maana anashindwa kuko-mpete na chikano's kutafuta extra job ame bet na mimi unajua.
unapenda kuangalia game?.maana i love basketball and that's all i love to discuss.wewe unaonekana haupo mwanamichedho.
 
i run marathon...i thing for my church andh theach sundhay thschool thooo...

No way ok somo la jumapili ilikuwa kwenye kitabu gani huko kanisani kwenu?. an unasali kanisa/dhehebu gani wewe?.

Mara ya mwisho ilikuwa lini ku run marathon?.mimi nasubiria kukimbia marathon again this summer kwa ajili ya cancer survivor.
 
Haa bana mi malavu ya kigangwe siyawezi....Mimi ni "Brian McNight, na sio Mike Tyson"

Ooh you are so sweet QM,lazima mkeo atakuwa anafaidi sana kuwa na mwanaume so romatic like you.Unajua those brian micNight songs can make you create so many babies.
 
Buth..buth..Briana McKight is gay...isth a downlow brodha....dhon'th you know?
 
No way Brian McNight is not gay ana mke wa watoto.Nipe link wapi umeona brian is Gay.Walisema pia Martin yule jamaa aliyemuona kisha campmbel kuwa ni gay or something like swingers yeye na will smith which is not true oh well.
 
Sasa wote mkiwa walaini si ndo vizuri....hamchunani ngozi

hapanha bhanha...mwanhamhumhe huthakiwi kuwa laini kama mwanhamke wako....

Cupcake wangu yeye mlaini halafu mimi mghumu ghumu kamha mwanhamhumhe anavyothakiwa kuwa

Cupcake uko wapi?
 
No way Brian McNight is not gay ana mke wa watoto.Nipe link wapi umeona brian is Gay.Walisema pia Martin yule jamaa aliyemuona kisha campmbel kuwa ni gay or something like swingers yeye na will smith which is not true oh well.

Unajua NN kila mtu asiyekuwa kama kimbo anamwona ni "undercover." Only kama angejua kuna wakina Kimbo na Wizzy kibao ambao "wanatembea gizani."

Hivi unajua Brian pamoja na nyimbo zote za kumtoa nyoka pangoni, bado ndoa imemshinda. Last time nilisikia mai wife wake aliomba talaka.
 
hapanha bhanha...mwanhamhumhe huthakiwi kuwa laini kama mwanhamke wako....

Cupcake wangu yeye mlaini halafu mimi mghumu ghumu kamha mwanhamhumhe anavyothakiwa kuwa

Cupcake uko wapi?

Nipo cuppy............... nipo kuna issue nafuatiliya ni very important........
 
Unajua NN kila mtu asiyekuwa kama kimbo anamwona ni "undercover." Only kama angejua kuna wakina Kimbo na Wizzy kibao ambao "wanatembea gizani."

Hivi unajua Brian pamoja na nyimbo zote za kumtoa nyoka pangoni, bado ndoa imemshinda. Last time nilisikia mai wife wake aliomba talaka.

Ahahahahaha mazee kumbe unamnyaka na wewe Kimbo Slice eeeh? Hahahah...thats ma man...

Ila Weezy ni suspect....anavaa skinny jeans...sasa we niambie mwanamume gani aliyekamilika anavaa skinny jeans? Demu wako avae skinny jeans..na wewe pia? No way man.

Sasa unajua kwa nini mai waifu wa Brian McKinght aliomba talaka? Because he is gay...but on the downlow
 
Kuna vijana wengi wakitanzania i know nao pia wanapenda kweli kuvaa skinny jeans alafu wanavalia matakonialafu hawana ****** kazi kweli kweli.sijui ndiyo kufuata mkumbo huko au ndiyo when you are in america yo u need to act liek american?.

wee nyani ngabu ina maana kila mwanaume aliyekuwa divorced ni gay?.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom