NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
Sasha Fierce aka Beyonce :)

Pole sana kwa kipigo cha jana. KB alias Black Mamba alikuwa below par jana, lakini uzuri ni kwamba ni mara chache huwa below par kwa michezo miwili mfululizo. Hivyo najua kesho atafanya vitu vyake na kuongoza kwenye series kwa 3-1. Mtashinda hii series kwa 4-2. If I were a boy :) Champion ni lazima apitie kwenye misukosuko kabla ya kutawazwa rasmi.
 
Bubu nilikuwa naomboleza juzi kwa kipigo ila si umeona mwenyewe mambo ya KB jana?.na wala hujakosema jana Lakers wamefanya vizuri sana 3-1 sasa tunawasubiri uwanja wa nyumbani tuwatwange tena.

Unaangalia game la BUlls na Celtics naona Pierce anaangalia game kiupande upande hanahamu kabisa,ila hii game ya bulls na celtics aisee haitabiriki kabisa kipindi cha nne hiki na zimebaki dakika kama 5 hivi celtics wanaongiza though in few minutes bulls walikuwa mbele kama 4 points.well all in all you never know ila derick Rose kijana machachari sana anawatesa kinoma.
 
Naam, naiangalia hiyo game ya Bulls na Celtics. With 1.06 minute to go it is a tie game 91 each. Naona kuna uwezekano wa kwenda OT.
 
Nilitaka hiyo game iishe ili nimuangalie King James na Cleveland wakiwasweep Detroit. Kwa ajili ya OT watachelewa kuanza kuuonyesha.

aah hiyo wala sitaki kuingalia ua tuu cleveland watashinda maana Detroit wameshakuwa mdebwedo.

damn aisee hawa wanakwenda OT ya pili for sure.
 
Naam 2nd OT :(, bora wasiende 3rd OT maana 1st quarter ya game nyingine itakuwa imekatika :(
 
Mimi nimeshachoka kuangalia kabisa sasa maana inabore tayari.Ila ningefurahi Boston wafungwe maana simpendi Garnett ana masifa kama kaka yako Kingi James.

Ha ha ha King James is my Kid :) Bulls naona wanatie series 2-2
 
I see and Kb is my brother! and you are going down bubu.

oh yes naona sasa ni 2-2 basi huu ni mwisho waover time maana bulls wameshinda zimebakia sekunde 35 tuu na mpira ni wa bulls.Yaani hapa hata Ray Allen apige tatu still boston hawashindi.
 
Naam hiyo game imeisha sasa ni game ya mbaya wako King James na Cleveland. Mwangalie tu King James akifanya mavitus pamoja kuwa humpendi :)

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=BVTyLqkez6A]YouTube - Beyoncé - If I Were A Boy[/ame]
 
Naam hiyo game imeisha sasa ni game ya mbaya wako King James na Cleveland. Mwangalie tu King James akifanya mavitus pamoja kuwa humpendi :)

YouTube - Beyoncé - If I Were A Boy

Ok i will try to check this game because you said so.

tsk tsk tsk naona umenimalizia na if i were a boy by my girl beyonce.She os off the hook she is smart and sexy,she is just like me mwanamke lazima uwe na curve.
 
Ha ha ha you won't regret this decision at all :) Hata Wazungu siku hizi wanazitaka curves kwa nguvu tu na wengine hufanya hata mazoezi ili kujenga curves hizo na siyo ile namba 1 yao ;)
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom