NBA free agency...Lebron anaelekea wapi?

Miami! Hiyo combo ni balaa, lakini waombe Mungu watwae Ubingwa.
 
Jamaa tayari wameishafanya simulations ... chances za Miami Heat kutwaa Ubingwa msimu ujao ni 36%. Hii ni ndogo sana kwa combo kubwa kama ya kwao na waombe wawe wazima msimu mzima maana wanaweza kuwa na benchi fupi, japo nimesikia wanamtaka na Derek Fisher.
 
After this, I think James will go to Miami. Congratulations Heat.


haha I got it. Remember he had a meeting with Wade about a week ago. That was an indication that they will go together, after Wade anounced to go back to Miami, it seemed obvious that James will do the same. I hope it works for them.
 
Hebu Msomeni huyu Majority owner wa Cleveland Cavs alivyomwaga sumu baada ya LeBron James kuanza mbele na kujiunga na Miami Heat.


Dear Cleveland, All Of Northeast Ohio and Cleveland Cavaliers Supporters Wherever You May Be Tonight;

As you now know, our former hero, who grew up in the very region that he deserted this evening, is no longer a Cleveland Cavalier.

This was announced with a several day, narcissistic, self-promotional build-up culminating with a national TV special of his "decision" unlike anything ever "witnessed" in the history of sports and probably the history of entertainment.

Clearly, this is bitterly disappointing to all of us.

The good news is that the ownership team and the rest of the hard-working, loyal, and driven staff over here at your hometown Cavaliers have not betrayed you nor NEVER will betray you.

There is so much more to tell you about the events of the recent past and our more than exciting future. Over the next several days and weeks, we will be communicating much of that to you.

You simply don't deserve this kind of cowardly betrayal.

You have given so much and deserve so much more.

In the meantime, I want to make one statement to you tonight:

"I PERSONALLY GUARANTEE THAT THE CLEVELAND CAVALIERS WILL WIN AN NBA CHAMPIONSHIP BEFORE THE SELF-TITLED FORMER 'KING' WINS ONE"

You can take it to the bank.

If you thought we were motivated before tonight to bring the hardware to Cleveland, I can tell you that this shameful display of selfishness and betrayal by one of our very own has shifted our "motivation" to previously unknown and previously never experienced levels.

Some people think they should go to heaven but NOT have to die to get there.

Sorry, but that's simply not how it works.

This shocking act of disloyalty from our home grown "chosen one" sends the exact opposite lesson of what we would want our children to learn. And "who" we would want them to grow-up to become.

But the good news is that this heartless and callous action can only serve as the antidote to the so-called "curse" on Cleveland, Ohio.

The self-declared former "King" will be taking the "curse" with him down south. And until he does "right" by Cleveland and Ohio, James (and the town where he plays) will unfortunately own this dreaded spell and bad karma.

Just watch.

Sleep well, Cleveland.

Tomorrow is a new and much brighter day....

I PROMISE you that our energy, focus, capital, knowledge and experience will be directed at one thing and one thing only:

DELIVERING YOU the championship you have long deserved and is long overdue....


Dan Gilbert
Majority Owner Cleveland Cavaliers
 
Hebu Msomeni huyu Majority owner wa Cleveland Cavs alivyomwaga sumu baada ya LeBron James kuanza mbele na kujiunga na Miami Heat.

Sour grapes

Jamaa is so bitter for nothing. Mtu akiwa free agent hana tena responsibility na mwajiri wake wa zamani. Ni mambo ya kunegotiate tu contract mpya au mtu anaanza mbele. Sielewi alitegemea jamaa abaki Ohio kwa minajili ipi??
 
Sour grapes

Jamaa is so bitter for nothing. Mtu akiwa free agent hana tena responsibility na mwajiri wake wa zamani. Ni mambo ya kunegotiate tu contract mpya au mtu anaanza mbele. Sielewi alitegemea jamaa abaki Ohio kwa minajili ipi??
Alitegemea jamaa kuendeleza uzalendo bila kupata ring~ila jamaa kweli kaamua, ku-turn down like $120M na kwenda kupata kama inavyosemekana less than $100M sio mchezo, the guy is dying for a ring. Well hiyo difference ya $$ atai-make up kwenye matangazo ya NIKE na mengineyo.
 
Alitegemea jamaa kuendeleza uzalendo bila kupata ring~ila jamaa kweli kaamua, ku-turn down like $120M na kwenda kupata kama inavyosemekana less than $100M sio mchezo, the guy is dying for a ring. Well hiyo difference ya $$ atai-make up kwenye matangazo ya NIKE na mengineyo.

Ring muhimu, jamaa amelitambua hilo, kuishia tu kuwa MVP wa regular season is not good enough. Ila I can't imagine Heat watakaposhindwa walau kuchukua ubingwa wa East, itakuwa kimbembe.
 
Sour grapes

Jamaa is so bitter for nothing. Mtu akiwa free agent hana tena responsibility na mwajiri wake wa zamani. Ni mambo ya kunegotiate tu contract mpya au mtu anaanza mbele. Sielewi alitegemea jamaa abaki Ohio kwa minajili ipi??

Wao wenyewe,walitakiwa wamchukua Wade
 
..si kweli kwamba LeBron ame-sacrifice kwa kuamua kuchukua hela ndogo zaidi kama mshahara toka Miami.

..Lebron anapata hela nyingi zaidi kwenye endorsement na huko ndiko utajiri wake, karibu wote, unapotokea.

..sasa endorsements nazo zinakuja kwa wingi kama utakuwa CHAMPION. kwa mfano: sasa hivi KOBE ni jina kubwa sana ktk market ya CHINA kwasababu hawa jamaa wanaheshimu sana CHAMPIONS.

..Lebron ameamua kwenda Miami kwasababu anaamini itakuwa rahisi zaidi ku-win a championship akicheza na 3 SUPERSTARS instead of 2. the game will be much easier for him, hatalazimika kucheza minutes nyingi, kwa msingi huo hata injuries zitakuwa chache.

..kwa msingi huo Lebron atashinda championship nyingi sana, bila kulazimika kutoa majasho na kucheza through injuries kama Kobe Bryant wa La Lakers. kumbuka during 2010 championship series vs Boston Kobe Bryant had fluid drained frm his knee, and also postponed surgery on his broken index finger. there is speculation that Kobe Bryant finger is now permanently damaged!!
 
"I PERSONALLY GUARANTEE THAT THE CLEVELAND CAVALIERS WILL WIN AN NBA CHAMPIONSHIP BEFORE THE SELF-TITLED FORMER 'KING' WINS ONE"

Haya maneno ni mazito, lakini ninashawishika kusema kwamba ni maneno ya mtu aliyetegemea kupata na akakosa. Sioni kama roster ya Cavs ya sasa hivi inaweza kuwa ni contender wa NBA championship. Huyu owner naona ameonyesha immaturity ya hali ya juu. Hata kama alikasirika ama kusikitika, hakutakiwa kutoa statement ya ajabu kiasi hiki. Hizo hasira na chuki alitakiwa kuwaachia washabiki. Hiyo inajenga image mbaya kwa future superstars, kwamba siku ukiamua kuondoka uongozi unakuchukia as if umeua mtu. Kila mtu anaangalia maslahi yake so hata LBJ aliangalia maslahi na akafikia maamuzi ya kuhamia Miami.

Ninasubiri kwa hamu kuona moves za Pat Riley katika kukamilisha usajiri wa Miami Heat. Lazima watakuwa na bench ambalo halitakuwa na msaada sana kwa timu kwa kuwa salary cap inawabana kuchukua wachezaji wazuri ama waamue kulipa kodi zaidi kwa kuvuka salary cap.

Kila la heri LBJ maana kilichokupeleka huko ni kusaka ring. Mwenzako Wade tayari anayo moja.
 
Sie wapenzi wa kikapu tunataka action tu, hiyo mambo mingine yakuanza kupakana thats bitching..
 
Sie wapenzi wa kikapu tunataka action tu, hiyo mambo mingine yakuanza kupakana thats bitching..

nahamia MIAMI HEAT next season LOL..........lazima tuchukue title....KING,WADE,BOSH.......dream team hio......
 
Back
Top Bottom