NBA 2016/2017 Season Special Thread

Tristan mbovu hasa kwenye hizi playoffs mbona ipo wazi. Love speed yake imepungua, Cavs A1 players ni LJ na Irving tu.

Bench la Cavs ndo hamna kitu kabisa tofauti na lile la GSW. Angalia LJ akitoka gape linavyoongezeka
Ooh...
Kumbe ni kwenye hizi playoffs..!
Hapo nimekuelewa mkuu..!
 
Matthew Dellavedova is missed big time, kazi aliyokuwa anaifanya hakuna aliyeweza ku-cover gap lake hata ukiwajumlisha wawili kwa pamoja.
 
CAVS need to pull up their socks and play with determination in order to win this game.
 
Halftime: GSW-67, CAVs-61...mchezo bado kabisa.
Yeah...
Mchezo bado mbichi kabisa..!
Ngoja LeBron akalambishwe glucose ili akirudi game iendelee kuwa hai...
Maana kuwa hai kwa hii game ndio kuwa hai kwa uzi huu..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
 
Ooh...
Kumbe ni kwenye hizi playoffs..!
Hapo nimekuelewa mkuu..!
Tristan hajawahi kuwa A1 player huwezi muweka Tristan level moja na kina LJ, curry, KD, Irving na players wa hiyo calibre na kwenye playoffs ndo kapotea kabisa yeye ni average player, zaidi bench la Cavs sio zuri.
 
Sasa inakuja ile quarter mbaya zaidi kwa Warriors.. Kama Cavs wataweza kuwasimamisha Warriors kwenye hii quarter basi angalau wanaweza kupambana kwenye quarter ya mwisho..

Ila Cavs leo wako vibaya sana behind the line.. Bron pekee ndie namwona anatungua 3
 
Nadhani leo Cavs watahold on kwenye hii game.

We get this one, we get the next one too.
 
Tristan hajawahi kuwa A1 player huwezi muweka Tristan level moja na kina LJ, curry, KD, Irving na players wa hiyo calibre na kwenye playoffs ndo kapotea kabisa yeye ni average player, zaidi bench la Cavs sio zuri.
Sio nzuri kwenye hii series tu mkuu maana walishazoea mteremko wa East.. Mkiwambiwa East is weak mnabisha bisha.. Bench la Cavs is among the stacked benches lina 2 All Stars and other good role players.. Ni vile tu wamekutana na wababe. Hata kwenye huu uzi hao hao Cavs walishaongelea bench lao ni zuri kuliko la Warriors..
 
Nadhani leo Cavs watahold on kwenye hii game.

We get this one, we get the next one too.
With only Bron doing all the work hakuna namna mtashinda hii game.. Quarter ya 3 Curry will come to himself and extend the lead even to the double digits..

Ngoja tuone..
 
Sio nzuri kwenye hii series tu mkuu maana walishazoea mteremko wa East.. Mkiwambiwa East is weak mnabisha bisha.. Bench la Cavs is among the stacked benches lina 2 All Stars and other good role players.. Ni vile tu wamekutana na wababe. Hata kwenye huu uzi hao hao Cavs walishaongelea bench lao ni zuri kuliko la Warriors..
Cavs tunahitaji mtu kama John Wall
 
3 consecutive rebounds for Love turned this game in favor of Cavs.. KD doing nothing the whole 3rd and the only Warrior playing is Curry..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom