Nawezaje kusafirisha pweza toka Lindi hadi mwanza pasipo kuharibika??

Hapo ni usafirishe kwa ndege, wawahi kufika au usafirishe kwa gari za jokofu ila hapa inabidi uwe na mzigo wa kutosha, kucover gharama za usafiri.
 
Wanawekaga tu kwenye makoki yale
(Mabox ya yaliotengenezwa na mbao)
Ndani unatupia barafu
Au atafute majaba makubwa ya plastic awaweke ndani pamoja na barafu za kutosha

Ova
 
Wakuu nataka nianzishe biashara ya pweza mwanza!
Nimezunguka huku hakuna kabisa hii biashara!!
Changamoto ni kuwasafirisha!
Nimeishi lindi kule pweza ni bei rahisi sana tofauti na dar!!

wafanyabiashara wa pweza mikoani nipeni uzoefu
Unawakausha juani wanakauka kaukau kabisa km wanavyokaushwa Samaki wabichi au dagaa wabichi ndio unasafiri nao bila hivyo jiandae kubeba mizoga au tumia usafiri wa Ndege km wanavyofanya wafanyabiashara wa Samaki wabichi kusafirisha kutoka Mwanza kuja Dar,

Pweza siku ya pili TU anaanza kunuka na ananuka hatari nilishawahi kusafirisha Ila nilikula hasara nikagawa walio na uchu wa pweza hawakujari km ameoza walikula hivyo hivyo
 
Au wakaangwe kwanza
 
Back
Top Bottom