majany
JF-Expert Member
- Sep 30, 2008
- 1,223
- 579
Habari za leo wana jamii.
Mimi ni mtumiaji sana wa huu usafiri wa mwendo kasi,na nalipia nauli kupitia kadi zao(dart card).
Mara ya mwisho nilikua naweza kufanya top up kupitia airtel money,lakini kwa sasa airtel wameitoa hiyo option.Naomba mwenye kujua namna tofauti ya kulipia kwa sasa ni ipi?kwa kuwa kulipia kwa cash inapoteza muda sanaaaa na unapata taabu sanaaaa...
Asanteni.