Nawezaje fikisha mchango wangu wa vijisenti kidogo kambi ya Lowassa?

MAKALA

Member
Mar 31, 2009
47
12
Habari jamani hapa jamii forum .ni muda sasa wa takribani miezi mitatu bila mafanikio yoyote nimekua nikijaribu kutafuta uwezekano wa japo kutoa kamchango kadogo kwa kambi hii ili iweze kufanikisha malengo ya kumuweka jembe (LOWASA) madarakani kwenye uchaguzi ujao wa uraisi, ni kwa nini nimeamua hivi ? nimeamua hivi baada ya kurizika kua lowasa anaweza kua kiongozi mzuri zaidi kuliko wengine, sababu ni hizi (1.) ni mtu anayejiamini mno.(2.) ni mtu mwenye roho nzuri na ya upendo kwa lugha ingine ni mtoaji (3.) sio mdini (4.) anauzoefu wa uongozi (5.) hana njaa huyu haitaji pesa tena anahohitaji ni kuwasaidia watanzania (6.) he is loyal and god fearing person (7.) very very hardworking and determined person.(8) ni mtu anayekipenda sana chama chake cha CCM(9) sio mkabila. NOTE. sijawahi kukutana na lowasa wala sihitaji kukutana nae ninachohitaji ni namna sahihi na ya kiusalama ya kufikisha mchango wangu tu naomba nisieleweke vibaya.
 
karibu mkuu,uko sahihi hili ndilo jembe lilio bakia ccm!nchi hii ilipofikia inahitaji mtu kama lowassa nasivinginevyo tena
 
Habari jamani hapa jamii forum .ni muda sasa wa takribani miezi mitatu bila mafanikio yoyote nimekua nikijaribu kutafuta uwezekano wa japo kutoa kamchango kadogo kwa kambi hii ili iweze kufanikisha malengo ya kumuweka jembe (LOWASA) madarakani kwenye uchaguzi ujao wa uraisi, ni kwa nini nimeamua hivi ? nimeamua hivi baada ya kurizika kua lowasa anaweza kua kiongozi mzuri zaidi kuliko wengine, sababu ni hizi (1.) ni mtu anayejiamini mno.(2.) ni mtu mwenye roho nzuri na ya upendo kwa lugha ingine ni mtoaji (3.) sio mdini (4.) anauzoefu wa uongozi (5.) hana njaa huyu haitaji pesa tena anahohitaji ni kuwasaidia watanzania (6.) he is loyal and god fearing person (7.) very very hardworking and determined person.(8) ni mtu anayekipenda sana chama chake cha CCM(9) sio mkabila. NOTE. sijawahi kukutana na lowasa wala sihitaji kukutana nae ninachohitaji ni namna sahihi na ya kiusalama ya kufikisha mchango wangu tu naomba nisieleweke vibaya.

mbONA NI RAHISI SANA MKUU , NI KIASI CHA KUWASILIANA NA HOSPITALI ALIYOLAZWA BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI WA KONGOSHO ( KAMA TULIVYOJULISHWA NA WASAMALIA WEMA HAPAHAPA JF ) NA KUKABIDHI KITITA CHAKO .
 
Back
Top Bottom