willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,026
- 1,179
Wakuu yani nahisi kama naota jirani yangu kanunua receiver ya star gold na dish lake 170000 lakini channel anazopata duh! yaani kwa macho yangu kile kidishi kidogo channel zote za TZ hadi Clouds TV, DW, bein ila sio sport ,DUCE, MNET, na nyingine nyingi.
Yaani kombe la dunia kuna channel kama 30 zinaonesha daah nimeashangaa sana. Nikajiuliza na mim niweke kama yeye ila natumia media com receiver hivi inaweza kikubali?
Yaani kombe la dunia kuna channel kama 30 zinaonesha daah nimeashangaa sana. Nikajiuliza na mim niweke kama yeye ila natumia media com receiver hivi inaweza kikubali?