Naweza kuagiza gari bila inspection?

Kacharimbe

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
211
34
Wakuu wale jamaa wa beforward wanasema watu wengi toka tz wanaagiza magari toka kwao bila kulipa gharama za kukagua gari. Hivi nini effect yake? Naweza kutakiwa kulipa insepection gari ikifika bongo?
 
Nijuavyo mimi kama gari halina kadi ya inspection au MOT kwa watu wa UK, basi inabidi file lako liende viwango-Ubungo ambao ndio wanatakiwa waje kulikagua. Kuna gharama pamoja na faini halafu ni usumbufu - hii process bila kutoa kinachoitwa zawadi siku hizi inaweza kuchua zaidi ya wiki.
 
Kwa hiyo bora kulipa ili gari likaguliwe huko huko. Nilidhani kuna unafuu maana inspection ni usd 350 kama sh. Laki sita na ushee
 
nop you can order without insepction bwana haina shida wala

Ni Kweli unaweza kuorder bila inspection ila likifika huku ndio utapata matatizo. Kama haina shida kwanini watu wanalipa 350USD?
Kama unajua mtu viwango na akaandika barua ya kuwa alishalikagua basi sio shida vinginevyo ni usumbufu. Mimi yalinikuta haya mwaka jana mwanzoni
 
Back
Top Bottom