Nawaza nimfanye nini alienitapeli pesa zangu

Me pia kuna mama aliniomba nimkopeshe 100000, lakin kila siku ananipiga tarehe mpaka nimeamua kupotezea.

Ila ana binti mzuri sana, nimepanga siku moja nimle kimasihara, nadhani ndio itakuwa Revenge yangu.
 
Achana nae songa mbele, yawezekana mngefanya dili kubwa zaidi akakudhulumu lakini hio taa imewaka mteme tu mapema itajulikana baadae
 
Nitasamehe siku nikilipiza kisasi. Unajua maumivu ya kudhulumiwa? Binadamu wa sasa wana viburi na dharau.
Kisasi ni cha Bwana. Pesa makaratasi. Hatukuja na kitu duniani na hatutoondoka na kitu. Mpende adui yako, uwaombee wanaokuudhi. Na hii ndio Injili.

Kujikana nafsi na kuubeba msalaba ndio inatakiwa iwe ni maisha ya kila siku ya mtu. Hatutaweza peke yetu bali kwa msaada wa Mungu yote yanawezekana.


YESU KRISTO NI MWOKOZI
 
Kama upo tayari kupokea consequences basi fanya unachoona ni sahihi.
Mkate vidole vyake viwili vya mkono wake wa kushoto vipike supu alafu mwambie anywe supu na atafune vidole vyake mwenyewe.
 
Mkuu unaonekana una code nyingi sana za upande wa pili. Mbaya zaidi nyingi hujazifanyia practice
Njoo pm nikupe uchawi ambao sijaifanyia testing ukajaribu tuone kama unafanya kazi, ukileta mrejesho chanya ndo nimnyooshe mbaya wangu!!
 
UAMINIFU ni neema tuliyokosa asilimia kubwa ya sisi watanzania, ni asilimia ndogo sana walio na hiyo neema.

Hizi ishu za wizi na utapeli zinakera sana mbaya zaidi watu hawana hofu kabisa. Hebu fikiria una mtapeli ama kumuibia mtu humjui wala hujui atachukua maamuzi gani alafu kwako unachukulia kawaida tu. Wapendwa dunia ya sasa imechafuka sana, mtu kukufanya chochote haoni shida kabisa. Kuna mama mmoja alikuwa mzima wa akili kabisa tena alikuwa anafanya biashara vizuri tu ila kwa sasa ni mgonjwa wa akili (kichaa). Huo nimetoa mfano tu kwamba binadamu hana thamani yoyote ile ni dakika sifuri tu watu wanakufanya watakavyo wao.

Tuache tamaa kwenye mali za watu na tukubali ile hali tuko nayo.
 
Wazungu na Waarabu walifanya biashara ya utumwa na kuiba mali zetu kwa kigezo cha dini.
Ndiyo wamefanikiwa sana. Leo Afrika tunaitwa bara giza au dunia ya ulimwengu wa tatu. Vinara kama Ujerumani, Hispania, Marekani, Uingereza ni nchi za dunia ya kwanza.
Ingekuwa hivyo, Russia asingempiga Ukraine
Hiyo pesa kesha itumia na hajabadilika, ni kheri ukamuacha tu Mungu atakulipa na atamhukumu yeye kwa maovu yake nawe atakuzidishia mara elfu.
 
Back
Top Bottom