Nawaunga Mkono UAMSHO- Muungano Uvunjwe

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
-Kwa mtu yeyote mwenye kutafakari maswala kwa undani, utaona umuhimu wa kuisikiza hoja na hata kuwaunga mkono hoja ya wana UAMSHO kuitaka Zanzibari kujitenga kutoka kwenye muungano. Kosa wanalofanya UAMSHO ni kuliingiza hii hoja kwenye kivuli cha UDINI. Mimi kama mtanzania bara, sioni sababu yoyote ya kuwakandamiza hawa wazanzibari kubaki kwenye muungano. Waachwe waende zao.

-Kwanza Zanzibar inaionyonya Tanzania bara. Ni sehemu ndogo sana kulinganisha na mikoa mingine kama Shinyanga, Mwanza Kilimanjaro na NK, ila wana serikali yao, na kila kitu chao hadi na bunge. Kwa nini Mwanza wasiwe na Bunge?

-Badala ya kuwa ngangari kuwapiga mabomu, wasikilizeni hawa watu, ikiwa hawautaki muungano waacheni waende zao. Ramani ya Tanzania itabaki pale pale. Kwanza hakuna mtanzania anayeruhusiwa kununua ardhi Zanzibar na wafanyakazi wengi kule ni Wakenya

Nawakilisha

---------------------------------
Edward Lowassa for president 2015
 
hakika na wewe u mwanauamsho!
 
kama mtanzania bara, sioni sababu yoyote ya kuwakandamiza hawa wazanzibari kubaki kwenye muungano. Waachwe waende zao.

Kwanza Zanzibar inaionyonya Tanzania bara.
Kama Zanzibar inainyonya Tanzania Bara kwa nini unasema Wazanzibari wanakandamizwa?
 
Wakati wenzio wanachezea mabomu ya moshi na risasi weye wawaunga mkona mtandaoni! Si uende huko na wewe ukachome makanisa!
 
Back
Top Bottom