Nawaunga mkono BAKWATA "NAPINGA SENSA MPAKA TUJUE IDADI YA WAKATOLIKI TANZANIA"

Status
Not open for further replies.
kweli muanzisha thread UNATUMIKA au umepitia elimu akhera tu! Kumbuka wakristo wana akili ya kujua mema na mabaya pamoja na elimu dunia ya kuweza kutawala dunia...! Viongozi wao hawawez kutoa matamko ya kujdhalilisha kama yenu! By the way NDIZI NA PILAU MTAPATA MCJALI.
 
waislamu kushindana na wakristo kazi ipo. Mwislamu anaweza kuoa wake mpaka wanne akajikuta ana watoto wanne. Mkristo mke moja watoto 12 wapi na wapi!

Tafiti zingine bana utata mtupu.
 
"Mnahitaji" wewe na nani, na mkiwa kama nani?

Halafu, si hivyo tu, eti uweze kujua "unahitaji kuongeza mashule mangapi na mahosipitali ya kuwatibu Wakatoliki" wakati nyie wenyewe hamna hata shule moja au hospitali moja iliyojitosheleza kuwatibu nyie wenyewe, achilia mbali kutibu hao "Wakatoliki" na Watanzania wengineo, na ilhali mnaashia kuelimishwa kwenye shule za Wakatoliki na kutibiwa kwenye hospitali za Wakatoliki lakini ngebe kila siku haziishi! Wee endelea tu "kuzani" na pengine hata "kughani" tembe za mashairi. Kubambuzi weye!

Funguka mkuu, I bet hujamuelewa mleta thread. Read btn the lines; Alichoandika siyo kile anacho maanisha!
 
Nani kama israel? Mwenyezi mungu alishasema hata waacha wana waisrael, nyie waarabu kaeni kimya na bado kidogo mtaanza kusali jumapili,poleni yenu, endeleeni kumwombea mtume M aliyepata utume kwa kuoteshwa, hivi mkuu wenu aliandika kila kitu sawa? Maana si kuna kipindi alichanganyikiwa hadi na mkewe alikiri? Isijekuwa na nyie ndio mmeanza kuchanganyikiwa
 
waislamu kushindana na wakristo kazi ipo. Mwislamu anaweza kuoa wake mpaka wanne akajikuta ana watoto wanne. Mkristo mke moja watoto 12 wapi na wapi!

Huu ni utafiti wa kisayansi au umetumia akili yako!
 
Nani kama israel? Mwenyezi mungu alishasema hata waacha wana waisrael, nyie waarabu kaeni kimya na bado kidogo mtaanza kusali jumapili,poleni yenu, endeleeni kumwombea mtume M aliyepata utume kwa kuoteshwa, hivi mkuu wenu aliandika kila kitu sawa? Maana si kuna kipindi alichanganyikiwa hadi na mkewe alikiri? Isijekuwa na nyie ndio mmeanza kuchanganyikiwa.

Msilete hasira hayo ni baadhi ya maneno yaliyoko ktk hadithi za mtume M S M.

Ila mie mpagani na ni mpitaji tu hapa
 
waislamu kushindana na wakristo kazi ipo. Mwislamu anaweza kuoa wake mpaka wanne akajikuta ana watoto wanne. Mkristo mke moja watoto 12 wapi na wapi!

hamuwezi kushindana na wakristu maaa hata ktk mafundisho yenu mmeambiwa mjifunze tu mambo ya akhera wakati sio tumeambiwa:
mwanangu shika elimu na usimwache aende zake na pia tumeambia kushika kitabu cha mungu na kisitoke kinywani mwetu, sasa nyie mmeambia uo utakavyo kutokana na tamaa za miili yenu na ujinga wenu, wewe una ********* moja na unataka wake 5 kama sio tamaa ni nini na mbaya zaidi mnaoa hadi watoto wenu, sasa hiyo ni busara?
 
Bangi za kujifunzia ukubwani balaa tupu.
 
Siwezi kukulaumu, tatizo letu hatuwezi kutofautisha haki na batili,ukiwa na vimada hamsini 50,utajiona mjanja ingawa unajua ni dhambi! Lakini muislamu aliyeruhusiwa kuoa wanawake 4 halali inakua inshu! ( kwa wenye akili)
 
Wanaopinga sensa itayoonesha dini ya mtu ni Wakristo pekee, kwanini?

wewe utakuwa mwehu,raisi wa hii nchi,makamu na mawaziri wengne waislamu wanaounga mkono sensa na ni wa kristo,halafu it is very obvious nani wako wengi mi sioni kama itawasaidia nini maana wakristo hawajengewi shule zao na mahospitali na serikali wanajenga kwa nguvu zao wenyewe kwa hyo msipoamka kichwani milele na milele na milele wataendelea kuwazidi ktk kila kitu,
 
Halafu ni upumbavu na upuuzi tu na uvivu ukitaka kujua idadi ya wakristo ni very simple kila wakienda kanisani jumapili huwa wanahesabiwa kwa hyo zungukeni makanisani mkusanye na kila kanisa inajua waumini wake its a shame mnasubiri sensa what a shame,unajua kwa nini mtaendelea kusema wakristo wanawaonea kwa sababu mkipiga kelele kama hv wanacheka na kuendelea zao kujenga mashule,makanisa na hospitali,they dont have time to argue with you,na wakristo tumefundishwa never never argue with a muslim,
 
Mmie nimeamua rasmi kuungana na bakwata kwa kupinga sensa mpaka kipengele cha dini kiingizwe kwa sababu nazani ni haki yangu kama wengine kuamua hivyo ili na sisi tujue tuko wangapi. baada ya hapo tuweze kujua tunahitaji kuongeza mashule mangapi na mahosipitali ya kuwatibu wakatoliki na watanzania wote kwa ujumla

Mbona watu mnapenda vya bure sana halafu mnamshambulia raisi wenu kuwa ni omba omba? Au umetumwa halafu umeamua kutumia mgongo wa Wakatoriki? Kwanini mnataka kuilazimisha serikali iwasaidie wakati msaada haulazimishwi? Kama wewe na waumini wenzio mnataka kujuwa idadi yenu, kwanini mnataka kufanikisha adhma yenu kwa gharama ya serikali halafu kwa kulazimisha? Msaada msaada mtasaidiwa mpaka kuhudumia ndoa zenu. Sijui mumelogwa?. Piteni kwenye nyumba zenu za ibada mhesabianeeeee! Lasivyo mnaajenda ya siri na hicho mnacholazimisha. Hivi hamna mambo mengine ya kufikiria ktk kujiletea maendeleo kiimani na kiuchumi? Pumb**u.
 
Siwezi kukulaumu, tatizo letu hatuwezi kutofautisha haki na batili,ukiwa na vimada hamsini 50,utajiona mjanja ingawa unajua ni dhambi! Lakini muislamu aliyeruhusiwa kuoa wanawake 4 halali inakua inshu! ( kwa wenye akili)

una ushahidi kati ya mwislam na mkristu,wakristu ndio wanaongoza kwa vimada?kama wewe huna kimada hongera nenda kwenye chimbuko lenu mf. Tanga,bwagamoyo,zanzibar,mtwara ndio utajua
 
Hivi nyie ndugu mnashida gani maana kila mtu na msikiti wake, utasikia ah mi siendagi ule msikiti ilihali uko mtaani kwake, sasa nyie kwa nyie hampendani na mnatumia kitabu kimoja, kulikoni?
 
Huu ni utafiti wa kisayansi au umetumia akili yako!

Hahahaaaa!!!!
ritz,
Mimi naishi na tabaka zote hizo mbili, kwahiyo kujua hiyo status haihitaji utafiti wa kisayansi au akili yangu.
Hebu we nipe utafiti wa akili yako na wa kisayansi pia kamanda!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom