Nawatakia heri ya mwaka mpya 2024 mwaka wa maongezeko usikate tamaaa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,153
Tukielekea siku ya mwisho ya 2023

nipende kuwaomba radhi wote niliowakosea humu kwa kujibu vibaya ama kuwaumiza machoo kwa mwandiko mahiriiwakithailogia ulitupa na kama......

bila kuwasahau wale tuliojibishana vibaya tukapatana nanyi nimewasamehe pia


aisha kama binadamu nami nimewasamehe ......

2024 n mwaka wa maongezeko pengjne ulikuwa na mawazo mazuri haha kutumia 2023 basi 2024 n mwaka wa zaidi ya yale uliofikiria 2023

napenda niwatakie jpili njemaaa wote msiache kwenda kanisani na mkeshaa usiku tukimshukuru Munguu kwa yote aliotutendea 2023

binafsi ntakuwa pale kawe tanganyika Packers kumalizia mwakawangu na maombi 12

With 2024
Tupendane tukiwahai...nisiaccheee kuwapa pole pia wale wote waliopoteza ndugu zao humu 2023 kama members Mungu akawe mfariji wenu tuwee karibu na Mungu sisi tuliobakia si ombi.....


GODBLESS U ALL God bless Admins n others

HAPPYNEWYR N ADV
 
Iwapooo unajua uliwahi kukoseana humu namtu ombeaneni msamaha kabla ya saa sitaaa haipendezi kuingia na kinyongo 2024 na mtu ambae hujawahi kumwona kabisaa na pengine hutomwona kabisa humu zaidi ya kujua mwandiko wake kama
Pdidy
 
Back
Top Bottom