Nawashukuru sana MMU

Chokochoko

JF-Expert Member
Oct 15, 2011
438
183
Nimerudi tena na shukrani zangu za dhati kwenu MMU,

Bila shaka mliosomaga mada yangu ya nyuma mnanikumbuka sana, nimerudi kumishukuruni nyooote mliochangia mawazo yenu ukweli mlinifariji, mmenijenga, mmenifundisha na mmenipa akili ukweli ni kwamba mawazo yangu peke yake hayakuwa yamenitosha ndio maana nikaja kwenu mniongezee fikra na kweli hamkusita kweli nimekubali jf ni mwisho wa matatizo na nikisima cha magret thinker mbarikiwe sana.
kutokana na mawazo yenu nyoote nimekubali kumshirikisha atakae kuja kuwa mzazi mwenzangu lile swala la kubeba ujauzito bila kumkimbia na hapa nilipo waouuuuuuuuuuuuuuhh tayari kitu ndani ya box am going to be a m o t h e r am more tha happy sijui niwaelezeje ila mzidi kubarikiwa na nikija tena na machungu mengine msisite kunishauri na washukuru pia wote mlio ni pm mlinipa faraja kubwa sana wallah, ila msijali sana maana wengi wenu au karibia wote sikuwajibu kwa sababu akili ilikuwa kaa siyo yangu ila kwasasa mni pm nitawajibu.

ni mimi proud mother
 
hongera mama,ila kuna wengine wanailaani mmu wanasema inawapa mastress,wengine wanasema wana mmu wezi wa waajiri wao,yaani we acha tu mmu kila mtu anaiangalia kivyake.
 
Aiseee. . .
Hongera mother to be ila unafanya mambo chap chap. . . yani hata mwezi haujapita.
 
Hongera sana. Sasa mbona unatubania udaku(I'm sure Bishanga anatamani ajue. Source: mtambuzi)
Jamaa ulipomuambia wataka kuzaa nae ina maana alipokea kwa furaha habari hii? Yaani tunamshikilia kwa Jina la Yesu! Akiona tu hiyo baby bump atamani na kukuoa kabisa!
 
hongera mama,ila kuna wengine wanailaani mmu wanasema inawapa mastress,wengine wanasema wana mmu wezi wa waajiri wao,yaani we acha tu mmu kila mtu anaiangalia kivyake.

Inategemea kila mtu na mambo yake mimi naikubali sana
 
Hongera sana. Sasa mbona unatubania udaku(I'm sure Bishanga anatamani ajue. Source: mtambuzi)
Jamaa ulipomuambia wataka kuzaa nae ina maana alipokea kwa furaha habari hii? Yaani tunamshikilia kwa Jina la Yesu! Akiona tu hiyo baby bump atamani na kukuoa kabisa!

sikumwambia nataka kuzaa nae ila nasubiri mwezi uishe ndio nimwambie tayari nishanasa, na kweli jamani kunzaia sasahivi naombeni mnisaidie kuomba ili kumshika kwa jina la YESU, jina la bwana libarikiwe
 
Kwahiyo umemtegea?
Akikataa majukumu??
 
sikumwambia nataka kuzaa nae ila nasubiri mwezi uishe ndio nimwambie tayari nishanasa, na kweli jamani kunzaia sasahivi naombeni mnisaidie kuomba ili kumshika kwa jina la YESU, jina la bwana libarikiwe

wewe huyo jamaa.........do you know the 'real him' my dear au una wish tu umshike kwa sababu amekuwezesha kubeba kiumbe/kwa sababu umechelewa kuolewa?? Mind you, si kila mzazi mwenzio anafaa kuwa mume wa ndoa. Simaanishi kuwa usiolewe nae, but just a caution! We love u baby chocolate and we don wana see you crying again in the agony of love.........BEST OF LUCKY DEAREST!
 
Back
Top Bottom