Nawasalimu wanajf!!

Mpare

Member
Apr 16, 2009
9
0
Hi All,

Nafurahia kujiunga Dimbani mwenu ikiwa mtanikubali!:)

I am still trying to get my way around and hopefully when I do, we'll get to know each other more.

Nitashukuru mkinikaribisha..
 
Hi All,

Nafurahia kujiunga Dimbani mwenu ikiwa mtanikubali!:)

I am still trying to get my way around and hopefully when I do, we'll get to know each other more.

Nitashukuru mkinikaribisha..
Karibu mwathuu, havache.
 
Hi All,

Nafurahia kujiunga Dimbani mwenu ikiwa mtanikubali!:)

I am still trying to get my way around and hopefully when I do, we'll get to know each other more.

Nitashukuru mkinikaribisha..

Karibu mtani
Ipere thi kindo,,,, bora.........................................
Karibu jamvini
 
Karibu sana mpare ingawa umenichanganya kidogo kwa majina yako.Waitwa Mangi then wewe ni mpare,safi sana.
 
karibu mpare.....
ila hawa jamaa ni wabahili sijapata kuona......kuna jamaa wangu alikuwa anasoma same huko upareni ile shule nasikia walitukanawa na maji....hawapendi kuoga jaaa alikuwa akija likizo anakuja ngozi ina ramani ramani za uchafu alafu anapiga diblo(gitaa) mwili mzima....
 
Karibu sana mpare ingawa umenichanganya kidogo kwa majina yako.Waitwa Mangi then wewe ni mpare,safi sana.

No, no, mimi Mpare, Mangi ni mtani wangu aliyeniquote kwenye post yake , ebu check thread tena. Ahsante kwa kunipokea tho.. nashukuru
 
Wee Mpare,

Hapendwi mtu hapa. Bila PEREGE na Makande, wala usionekane.

Kaka yangu kaolea kwenu na kimwana katulia Tabora hadi leo. Karibu sana shemeji.
 
karibu mpare.....
ila hawa jamaa ni wabahili sijapata kuona......kuna jamaa wangu alikuwa anasoma same huko upareni ile shule nasikia walitukanawa na maji....hawapendi kuoga jaaa alikuwa akija likizo anakuja ngozi ina ramani ramani za uchafu alafu anapiga diblo(gitaa) mwili mzima....

Hmmh, jamani Yoyo! sasa rafiki wako ndo anarepresent wapare wote? Yoyo stop hating! lemme educate you some..

[ame=http://en.wikipedia.org/wiki/Pare]Pare - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame]
 
nimeoa mpare
karibu shemeji
ila naamini kuwa ukiwa na dem wa kipare hata akifanya madudu gani hakuachi kudadadeki. sasa wale wanaolilia kuachana na madem zao baada ya kukutwa wanamegwa basi wakachumbie upareni au unyakyusani ngoma inogile.
eti shemeji ya kweli hayo`???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom