Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,446
Napenda kuwapongeza akina dada na kina mama kwa moyo wenu wa uvumilivu katika Jahazi la mahaba kwa kuwa na mioyo yenu ya kusamehe na kupiga moyo konde ndio maana mahusiano mengi yanayumba lakini mnayaokoa tena Jahazi lisizame.
Wiki mbili zilizo pita nilishuhudia dada mmoja aitwae Aika akidundwa na Buzi wake kwa kile kilicho tokea kutopokea cmu ya X boyfriend wake, alikuwa anapigiwa cmu wkt jamaa ana download mjengo ikamlazimu akatishe kudownload na kumlazimu Aika apokee cmu lakini alikataa ikabidi buzi lipokee kupokea yule X boyfriend ikamlazimu akate cmu akapiga tena Buzi likamwamulu apokee Aika alikataa kata kata jamaa akaanza kumshushia mvua ya makonde mpaka Aika akazimia sisi kama wasamaria wema tukajitolea kwenda kumtibia Hospitali huku tukiamini Aika atamdiss yule Buzi alipigwa drip kadhaa na alikaa karibia siku 4 hatoki njee kipigo kilikuwa kizito kinakaribiana na cha wale wanajeshi walio mshushia Fundikira.
Jana sikuamini macho yangu Aika yupo na hilo buzi huku akimung'unya koni gizani kweli naamini akina dada mna mioyo mkipenda kweli mmependa licha ya kupata kipigo na misuko suko ya hapa na pale.
Sinabudi kuwapongeza akina dada na mama kwa uvumilivu na kupenda kwa dhati.