Kina Bulaya sasa wataanza kujiuza kwa buku buku tu, kisiasa ndiyo marehemu kabisaaaaa kuanzia leo hii. Wameshakuwa kama Lipumba na Membe walioambulia kura moja moja katika baadhi ya majimbo.Ukweli mchungu ni kuwa shamrashamra zikishapungua, mwenyekiti wao bila kificho atawaambia kupitia umma kuwa sasa ni wakati wa kulipa fadhila. Haiingii akilini uwang'oe Mdee, Mbowe, Lema, Mbilinyi, Bulaya, Heche, Matiko, Msigwa na usilipe fadhili (price to pay).
Jiandaeni kisaikolojia. Jiandaeni kutumika kama pampas ndani ya chama chenu hicho hicho. Jiandaeni kufungwa midomo. Jiandaeni na utumwa huru.
Najua wengi nafsi hazina kicheko japo kinywani vipo. Dr. Tulia kasema mwenyewe hawakustahili. Sio kauli ya kubeza tu. Wameona uhalisia na sasa wanashangaa
Ni kama Yuda aliyetamani kuvitema vipande vya fedha ikashindikana kwa kuwa ilibidi maandiko yatimie, ila ole wake ambaye maandiko yametimia kwa njia ya yeye.
Kuna kitu kinakuja maana kuna kilio kikubwa tokea kwa wapiga kura wakinung’unika vibaya mnoMungu ana makusudi yake katika hili.
Kwani kulikuwa na uchaguzi? Maana CCM imeulawiti na kuubaka uchaguzi huu kwa njia haramu za kishetaniKina Bulaya sasa wataanza kujiuza kwa buku buku tu, kisiasa ndiyo marehemu kabisaaaaa kuanzia leo hii. Wameshakuwa kama Lipumba na Membe walioambulia kura moja moja katika baadhi ya majimbo.
Wizi wao uchakachuaji tayari sijui ni kwa nini hawataki kufungua WhatsappNdugu mlokozi sayansi na uhuni ni vitu viwili tofauti na havitengamani.
By the way, mshamaliza mlokuwa mnafanya basi fungulieni mitandao.
Kaachiwa baada ya marekani kupiga kelelealishakamatwa toka mchana
Uchaguzi haukuwepo ila watu walichaguliwa, na wananchi tukanena kwa kuweka madarakani watu tuwatakao. Wewe ulilala wapi?Kwani kulikuwa na uchaguzi? Maana CCM imeulawiti na kuubaka uchaguzi huu kwa njia haramu za kishetani
inakufaje? Wakati hakuna uchaguzi bali vioja maigizo ya CCMChadema imekufa fa fe fi fo fu
Mungu ana makusudi yake katika hili.
Pamoja na ccm kushinda kwa 120% na chadema kutokuwepo bungeni utashangaa bado wabunge na wana ccm hawataacha kuitaja chadema kama inawakwamisha Arusha isiwe kalifonyaaa
Sipati Picha ukubwa wa hiyo sherehe utakuwaje na sijui itachukua siku ngapi
Nimeweka tu. Ndio Zao hizoImeshapenya
Pole sana maisha ni yaleyale kama umezoea kuishi kijanjajanja kweli utalia...sijui kwanini mmeingia uoga kiasi hiko.Umelawitiwa kimawazo sawasawa.Bado muda mchache tutaongea lugha ,tutalia pamoja.tuko ndani ya chama kimoja.WEKA AKIBA YA MANENO,USISAHAU KURUDI HAPA.Ni punguani tu pekee anaweza kushangilia upinzani bungeni kuuawa.
Hakuna aliyeibiwa kama ulienda kwenye polling station wale waliokuwa mashabiki wenu hawakutokea kabisaa.Usiharibu maana ya sayansi. Akija kukuibia mtu akaondoka na TV yako utasema katumia sayansi? Think!
Mkuu! Hata wajipange vipi,vyama vya upinzani hawatafanikiwa,siyo kwa sababu hawapendwi ila ni kwa sababu mazingira ya uchaguzi yanakuwa magumu kwa wapinzani. Wasimamizi wa vituo wengi kama siyo wote ni makada, maaskari wote walikuwa makada, mawakala wa upinzani ni ama walihongwa au walikataliwa kabisa kuingia vituoni kimabavu.I can see how you are grieving..poleni sana ndio siasa hiyoo mchezo wasayansi na kushambuliana golini kwa zamu wakati wa kampeni jukwaa mliliteka ila sasa ni vilio na malalamishi.
Jipangeni uchaguzi ujao.
Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Unajidanganya.The worst is yet to come!Inaelekea wewe ndio umeanza kuishi kwa shidashida sasa, wengine tumeishi hivyo tangu tunazaliwa ila sasaivi tuna kanafuu japo mama ntilie hatulipi ushuru wa zile elfu5 kwa siku hata hospitali tunapata huduma, shuleni watoto wanaenda na barabara zinapitika.
Kwa kweli kwetu wa maisha ya chini kuna kaahueni kubwa serikali hii