Nawaleta kwenu Joshua Nasari & Halima Mdee katika Picha

Acha umbea,nani kakwambia kama ni wapenzi?kwanza Halima Mdee
kwa Mtoto Nassari wapi na wapi unataka amkomaze?ni mambo ya kichama haya peace and love!
 
kazi ipo.wewe kama hujatumwa na Magamba
basi akili kichwani hakuna!unataka kuaminisha
jamii kwamba mtu akipiga picha na mwanasiasa
mwenzake tena anayemchukulia kama mdogo
wake ni tayari wapenzi?Rudi shule wewe!
 
ha ha ha ha ha ha jaman tunavunjana mbavu sasa,eeeeeeeeh dogo
amekuwa serious?jamani nasari ana mchumba wake,acheni kutaka
kumpeperushia njiwa wake du!iyo picha ni kama vile Halima
anasema Dogo safi sana na karibu Bungeni!!!
 
View attachment 51741

Binafsi nawatakia kila la kheri katika shughuli za bunge, chama na katika mambo ya kifamilia

mi kila siku huwa nasema kuwa hzi siasa mavi zilizobase personal ipo siku na sisi tukiwa waheshimiwa tutaletewa hata picha tulizopiga hata form1 na na visichana ili kufuana pia ipo siku tutaletewa hata picha tulizopiga na mama zetu na mkasema ni mpenzi wake, thread kama hizi humu sio mahali pake bali zipelekeni jf-chata na fcbk. Full stop
 
jamani kwani kupiga picha tu?then ni bungeni, maswla ya kifamilia ninyi mnayajuaje?

kweli mimi sioni cha ajabu hapo,mbona ni picha ya kawaida sana!waache ushamba hata kama ni wapendanao sioni kipya kwani wanasiasa hawapendani.Wako kazini na ni jambo la kawaida kwa couple kuanzia maeneo ya kazi.Mwalimu anakutana na mwalimu mwenzake shuleni-eneo la kazi.wanapendana kisha ndoa.ni kipi nongwa kwa wanasiasa?
 
mi kila siku huwa nasema kuwa hzi siasa mavi zilizobase personal ipo siku na sisi tukiwa waheshimiwa tutaletewa hata picha tulizopiga hata form1 na na visichana ili kufuana pia ipo siku tutaletewa hata picha tulizopiga na mama zetu na mkasema ni mpenzi wake, thread kama hizi humu sio mahali pake bali zipelekeni jf-chata na fcbk. Full stop

Unalalamika sana utadhani ni mara ya kwanza kuona picha humu JF, siitaji kupigwa ban kwa sababu yako.
 
Simungunyi maneno dogo mapenzi yanaendana na umri huyu dada kakupiga gepu tafuta saizi yako utakuja kujuta mbeleni huko oh
 
nasary.jpg


Tabasamu la Halima Mdee ni ushahidi wa kutosha ya kuwa halikuwa swala la kutafuta kura pale alipowaambia wapigakura wa Arumeru Mashariki kuwa amekubali kuoolewa na Joshua Nassari...........wasemaje?
 
Wamependeza, sema dogo ajitahidi awe na sura ngumu kumzidi Bi. Shosti hapo..!
 
Back
Top Bottom