Nawakumbusha wanaJF, Russia alipeleka Jeshi kumlinda Nicolas Maduro ila Marekani kashindwa kumlinda Rais wa Ukraine

Kwahiyo mashariki na magharibi ni jirani?

Vipi kuhusu tofauti kubwa ya masaa iliyopo kati ya Urusi na Marekani?

Zingekuwa jirani maana yake zote zingekuwa aidha magharibi ama mashariki.

Yaani unataka kunambia Dar es Salaam iliyopo mashariki mwa nchi ipo karibu na Kigoma iliyopo magharibi mwa nchi?
Acha ubishi izi nchi zimepakana pamoja na kua east na west Ni kutokana na ukubwa wa inchi ya urusi pia kuusu kutofaitiana masaa mbali pia katika nxhi ya urusi masaa pia hutofautiana kwa baadhi ya majimbo
 
Mmarekani anachoangalia ni adhari kwa kwake na kwa dunia, uwezo wa kumpiga mrusi anao tena wakutosha tu, tatizo lipo baada ya kumpiga matokeo yake ndio yanayoogopesha.

Mungu azidi kuwaongoza kwa busara na hekima kwani ata wahenga walisema ni bora nusu shari kuliko shari kamili.
Maarifa yakizidi ni ujinga. Hao wapuuzi wanataka kutuharibia dunia yetu

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Ukiachana na ile meli ya uturuki iliopigwa jana kwa kuzuia eti majeshi ya Urusi, leo meli ya Japan imepigwa kombora karibu na Black sea

2 more merchant ships hit by Russian attacks in Black Sea.

Japanese bulk carrier MV Namura Queen hit by a rocket at anchor off Yuzhne.

Moldovan chemical tanker MV Millennial Spirit hit and set on fire 12 miles to the south


Video: suvaribeyinnotdefteri https://t.co/p5BHZmUPIk
IMG_20220225_190242.jpg
 
Ukiachana na ile meli ya uturuki iliopigwa jana kwa kuzuia eti majeshi ya Urusi, leo meli ya Japan imepigwa kombora karibu na Black sea

2 more merchant ships hit by Russian attacks in Black Sea.

Japanese bulk carrier MV Namura Queen hit by a rocket at anchor off Yuzhne.

Moldovan chemical tanker MV Millennial Spirit hit and set on fire 12 miles to the south


Video: suvaribeyinnotdefteri https://t.co/p5BHZmUPIk
View attachment 2131243
Turkey na Russia mbona n marafik??
 
Masaa 10 kwa ndege au siyo?

Sasa unatukana wakati hata hujasoma nakuelewa lolote.

Yaani ndege itoke Dar Tanzania hadi Amsterdam The Netherlands kwa masaa 9 bado useme Tanzania na Netherlands ni nchi jirani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajua kuwa hata New york na los angels wanatofautiana masaa ingawa ni nchi moja?
 
Falsafa ya vita vya nyuklia ni kuwa hakunaga mshindi, kwa maana uharibifu utakao tokea huwa ni kwa pande zote zinazo pigana, kubali au ukatae hiyo ndio ipo hivyo.

Matokeo ya vita vya nyuklia huwa ni mabaya sana kwa pande zote zinazopigana na zisizo pigana, busara ndio huongoza wenye akili wasiingie vita vya namna hii.

Nikama kwenye ndoa, busara ya mmoja wapo ndio huwa inanusuru familia nzima, kinyume na hapo familia husambaratika.

KAMA HUTAKI UNAACHA
Acha uongo na propaganda zisizo na kichwa wala miguu,hukujawa kutokea vita vya Nyuklia kati ya Nchi na Nchi sasa wewe umejuaje huwa haina mshindi.
Mnachukua maneneo ya mtaani mnatuletea humu ndio kama evidence.
 
Marekani ana jeshi Japan, South Korea, Ujerumani, Saudi Arabia, Djibouti, etc. US ina foreign military bases zaidi ya 700 kwenye nchi 80 duniani. Unataka wawe kila sehemu?

Russia ana foreign military bases hazifiki 10 nadhani. NATO na EU wanafiki hawana mpango na mtu baki kama Ukraine, na Ukraine nayo haitumii akili kununua ugomvi. Finland wajanja wametulia hawataki kujiunga na NATO na ni majirani wa Russia
Ndio maana tunasema yule Rais wao ajili hana,wamepita Marais wengi hawajawi fa.nya huo upimbavu yeye anaona anaweza
 
Umbali kutoka Urusi hadi Marekani ni kilometres 8,881 hebu imagine umbali huo halafu useme ni nchi jirani.

Route ya ndege kutoka New York hadi Moscow non-stop ni zaidi ya masaa 9 angani.

Hivi masaa 9 angani non stop huoni ni umbali wa kufa mtu kwa ndege tena yale ma Boeing makubwa?

Umbali kutoka Dar hadi Dubai tu ni zaidi ya masaa 5 non-stop na Dar to Dubai hakuna umbali kihivyo.
Kwa hizo kilometa basi kweli njmeamini hizi nchi zipo jirani. Hapo hata kwa ndege hizi za abiria si ni dakika 45 tu? Kombora ni dakika 10 tu!
 
Acha uongo na propaganda zisizo na kichwa wala miguu,hukujawa kutokea vita vya Nyuklia kati ya Nchi na Nchi sasa wewe umejuaje huwa haina mshindi.
Mnachukua maneneo ya mtaani mnatuletea humu ndio kama evidence.
Kwahiyo lazima mmoja aibuke kidedea namaisha yanakuwa kawaida?!!
 
Dunia duara mkuu. Siyo flat kama meza ama karatasi ya ramani unayoisoma shuleni kwako. Marekani na urusi zimepakana

Kama hutaki shauri yako
Russia kapakana na Marekani kivipi mkuu? Russia ni far east wakati Marekani ipo west zaidi na umbali kutoka Marekani hadi Russia ni kilometres za kufa mtu.

Urusi ipo karibu na nchi za Ulaya tena ulaya ya mashariki sasa unaposema ipo karibu na Marekani kidogo nashindwa kuelewa.

Hata tofauti ya masaa tu Urusi siku inaanza kubadilika kisha baada ya masaa zaidi ya 10 ndo siku hiyo hiyo inabadilika Marekani.
.
 
hawajui kwamba kufuatia hivyo vita na Uganda ndio Tanzania ilipata kilema cha kudumu kiuchumi.
Usisahau sababu nyingine ni ujinga wa Nyerere kujiiingiza kwenye harakati za ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika
 
Mwaka 1955 Wakati Congo ipo Chini ya Ubeligiji
-Baba mmoja wa kizungu Alinunua mtt wa kiafrika na kumuweka kwenye wavu kwajili ya watoto wake kuchezea kama mdoli,.
wazungu ni
20220226_114025.jpg


Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom