Nauza set ya vifaa vya gym (body building) - locally made

E52

Member
Oct 31, 2010
81
14
Wadau ninauza set ya vifaa vya mazoezi vya body building ambavyo ni locally made ila ni vya chuma,,vifaa hivyo ni BARBELL yenye plate 6 (each plate ina uzito wa kilo 1O),DUMBELLS-set moja za kilo 10,..na dumbell nyingine ina kilo 15(ipo moja),BENCH kwa ajili ya bench press na incline press..nauza vyote kwa jumla...bei ni 250,000/=..reason ya kuuza : nimenunua vifaa vipya...kwa mawasiliano piga 0756090222
 
Tatizo ni mtaji au utaalamu, hivyo vifaa ungevi-automate tungeacha sasa hivi kuingiza vifaa vya gym kutoka ng'ambo. Mkuu, vipi kuhusu kufungua karakana lako la vifaa uwe unatengeneza? Au soko nalo lamashaka?
 
Wadau ninauza set ya vifaa vya mazoezi vya body building ambavyo ni locally made ila ni vya chuma,,vifaa hivyo ni BARBELL yenye plate 6 (each plate ina uzito wa kilo 1O),DUMBELLS-set moja za kilo 10,..na dumbell nyingine ina kilo 15(ipo moja),BENCH kwa ajili ya bench press na incline press..nauza vyote kwa jumla...bei ni 250,000/=..reason ya kuuza : nimenunua vifaa vipya...kwa mawasiliano piga 0756090222

Bei yako iko juu sana umeshasema local made it means ni kama vile vya gerezani fanya laki na nusu nivichukue.
 
Back
Top Bottom