Nauza pasi original za Philips

Thaconfession

JF-Expert Member
Jun 16, 2021
295
575
Ninauza pasi original za Philips!
Hizi ni pasi bora na imara mno,ukiinunua na kuitunza vizuri ni mkataba wa kudumu, Hizi pasi ni mpya na zipo kwa box zake.

Kwa bei za dukani zinauzwa 45000-50000, Mimi nitakuuzia sh.40,000/= tu, nina pasi 25, karibuni, nipo Mabibo,na kama upo mkoani nitakutumia pia!

Kwa mawasiliano zaidi nicheck kwa 0629109840.
Screenshot_20210704-130154~2.jpg
 
Nb.Napatikana Mabibo hostel,karibu na Haika enterprises, kwa DAR nitakuletea ulipo na malipo ni baada ya kupokea na kuikagua pasi!
 
Pasi Kama hii nilinunua toka mwanangu anazaliwa niliiacha kuitumia alipofikisha miaka 17. Sio kwamba ilikufa la hasha tuliibadilishia waya mpaka tukaona ipumzike sasa.

Maneno ya baba.
Exactly, ni pasi nzuri sana!
Mimi yangu nimetumia kwa miaka 4 haina hata dalili za kutikisika!
Ni sawa sawa na feni inaitwa USHA made in India, inauzwa ghali lakini ni mkataba!
 
Pasi Kama hii nilinunua toka mwanangu anazaliwa niliiacha kuitumia alipofikisha miaka 17. Sio kwamba ilikufa la hasha tuliibadilishia waya mpaka tukaona ipumzike sasa.

Maneno ya baba.
Yangu haipeleki moto shida itakuwa nini? Nimeitumia kwa miaka 4.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom