Nauza nyumba jamani ipo kwenye Good condition

Na haya Mwenye kutaka nyumba nauza TSHs Millioni 100 kila moja Kwa mwenye kutaka nyumba hizo anione mimi......


attachment.php



attachment.php
Kiwanja uswahilini milioni 100! Duuuhh
 
Nje ya Kariakoo kama vile Manzese.mkuu grafani11 umepapenda? huwezi kupata nyumba Kariakoo kwa shilingi Million 100 mkuu hiyo ni Bei Rahisi tu kwa Kariakoo.
Mkuu Mzizimkavu
kuishi Manzese kuna sifa zake, kati ya hizo lazima ukubali kutoa fungu la kumi kwa wazee wa roba za mbao kila siku, la sivyo utageuzwa asusa. Nyingine inatakiwa uwe mwanachama wa Fitness club au mwanafunzi wa Sensei Ringo, lasivyo yatakukuta makubwa.
 
Lazima itakua ni Zanzibar, tena Unguja, na ni maeneo ya eidha Kijangwani maeneo ya nyuma ya Posta,, ama maeneo ya Mikunguni karibu Trade School...

Duh! hizo tools ziliomo ndani zinanikumbusha mbaaali!

Vyakale dhahabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom