Nauza nyumba jamani ipo kwenye Good condition

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
Na haya Mwenye kutaka nyumba nauza TSHs Millioni 100 kila moja Kwa mwenye kutaka nyumba hizo anione mimi......


attachment.php



attachment.php
 

Attachments

  • Nauza nyumba.jpg
    Nauza nyumba.jpg
    33.4 KB · Views: 1,291
  • Nyumba kiboko.jpg
    Nyumba kiboko.jpg
    34.4 KB · Views: 1,306
Bei uliyotoa si tatizo, ila funguka sema, hizi nyumba ziko wapi? Dar, Kigoma, Tandahimba au Kiborloni?? Je hazina migogoro ya urithi, maana yaonekana kama zilijengwa na babu yako!!! Je hazina mitego mitego (mazindiko, majini, maruhani, vibwengo etc)??? Kwa ujumla tangazo lako ni very interesting, nataka nizinunue zote mbili!!! Hata hivyo naomba ufafanuzi, je hapo wauza nyumba au viwanja???
 
Ndani ya hizo nyumba kuna vitu hivi vya kizamani......................
 

Attachments

  • Siri ya Mtungi.jpg
    Siri ya Mtungi.jpg
    37.1 KB · Views: 237
  • Mtungi2.jpg
    Mtungi2.jpg
    34.8 KB · Views: 61
  • Mtungi.jpg
    Mtungi.jpg
    36.8 KB · Views: 123
  • Maji ya mtungi.jpg
    Maji ya mtungi.jpg
    31 KB · Views: 181
  • JIKO LA FATAFITI.jpg
    JIKO LA FATAFITI.jpg
    38.6 KB · Views: 104
Mie ntanunua hiyo ya chini ila itabidi tuelewane bei, na kilichonivutia zaidi ni huo mtungi
 
Nahivi pia vipo ndani ya hiyo nyumba ninaviuza
 

Attachments

  • Mke ni jiko.jpg
    Mke ni jiko.jpg
    48 KB · Views: 70
  • Taa ya Karabai..jpg
    Taa ya Karabai..jpg
    25 KB · Views: 73
  • Nyau.jpg
    Nyau.jpg
    39.6 KB · Views: 73
Rejea maboresho ya bandiko langu, halafu unifafanulie, nyumba hiyo haina matatizo na mitegomitego??? I am a serious buyer!!!
Achana na hizo nyumba ni za Urithi mpaka matatizo ya urithi yamalizike kama kweli upo serious mimi ninacho kiwanja changu ninakiuza kipo Maeneno ya Vijibweni kama upo Serious unakitaka niambie nitakuuzia Bei ni maelewano unasemaje? mamamdogo
 
Last edited by a moderator:
Vijibweni??? Hiyo Vijibweni mbona ina sound kama Mabwepande, naogopa!!! Ndiyo wapi huko (wilaya ya Temeke, Ilala au Kinondoni)?? Nifafanulie tuingie biashara
 
Vijibweni??? Hiyo Vijibweni mbona ina sound kama Mabwepande, naogopa!!! Ndiyo wapi huko (wilaya ya Temeke, Ilala au Kinondoni)?? Nifafanulie tuingie biashara
Mkuu mamamdogo Vijibweni ni kule kwa Mzee Jumbe aliye kuwa Rais wa Zanzibar anapoishi huko kuvuka kigamboni wilaya ya Temeke. Usiogope Mamamdogo.
 
Last edited by a moderator:
mzizi mkavu unafilisika pole pole sasa unauza mali za urithi na kwa mazingira ninayoyaona na paka mnafuga unamtafutia mnunuzi kulogwa bure.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom