Nauza mkaa kwa bei ya jumla

Snowden E

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
1,354
2,241
UPDATE
Kutokana na price competition, nimeamua kupunguza price ya mkaa wangu kwa TZS 4000/=.
So, Bei mpya ya mkaa ni TZS 23,000/= Tu.
More information...? Njoo PM (uwe serious)

Ni mkaa wa Njombe
Bei ni TZS 27,000 kwa gunia moja.
Mkaa unawaka vizuri.
Bei itapungua endapo mteja atahitaji gunia zisizo pungua 10.
Gharama ya usafiri itamuhusu mteja.
Napatikana
Mkoa: DAR ES SALAAM,
Wilaya: Kinondoni,
Kata: Kigogo
Mtaa: Mkwajuni
Kwa mawasiliano zaidi njoo PM.

IMG_y9h54t.jpeg
 
Nipo maeneo ya airport...usafiri unakuwaje??
Unaweza kuongea na dereva toyo au carry mkaelewana.
Mzigo upo kigogo mwisho, barabara ya kuelekea tabata matumbi.
Ni barabarani kabisa, yani panaelekezeka vizuri.
Mi nauza tu.... usafiri ni juu ya mteja.
 
Ndugu serious nahitaji mkaa...!!lkn kutoka kuufuata siwezi coz nko peke yangu hp ofisin....tunafanyaje??
 
Hello chief PM yako naona kama imefungwa, siwezi tuma Pm
UPDATE
Kutokana na price competition, nimeamua kupunguza price ya mkaa wangu kwa TZS 4000/=.
So, Bei mpya ya mkaa ni TZS 23,000/= Tu.
More information...? Njoo PM (uwe serious)

Ni mkaa wa Njombe
Bei ni TZS 27,000 kwa gunia moja.
Mkaa unawaka vizuri.
Bei itapungua endapo mteja atahitaji gunia zisizo pungua 10.
Gharama ya usafiri itamuhusu mteja.
Napatikana
Mkoa: DAR ES SALAAM,
Wilaya: Kinondoni,
Kata: Kigogo
Mtaa: Mkwajuni
Kwa mawasiliano zaidi njoo PM.

View attachment 1287744

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa biashara ya kipekeee, safi sana kikubwa hakikisha wenzetu wa TFS wamekupa vibali halisi. Otherwise nimependa aina yako ya biashara.
 
Back
Top Bottom