Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 636
- 540
Habari zenu Nauza mbegu za michongoma. Zipo kibaha. Kwa anayehitaji kwa ajili ya kupanda kama fence kwenye kiwanja ama shamba lake anaweza nicheki kwenye namba 0758308193 na bei ni sh 10000 kwa chupa ya soda yenye mbegu. Mfano eneo la eka 1 chupa 6 zinatosha. Hiyo ni gharama ndogo kuliko kuweka fence ya ukuta