nauza mashamba/viwanja kigamboni

mama cha

Senior Member
Aug 2, 2011
115
9
karibu na funcity km 18 kutoka ferry. Eneo halifikiwi na mradi wa bush. Nakata kuanzia nusu eka mil 5. Eneo lipo tambalale na lina mchanga mzuri mweupe wa kujengea karibu upaone na ufurahie
 
Nadhani ungeweka namba za simu kurahisisha hili zoezi maana ni ngumu kufafanuliana baadhi ya mambo kwa PMs
 
angalau amejtaid kutoa ufafanuzi wa kutosha. tofaurtwi na wengine ambao hukurupuka
 
ukihitaji namba yangu ya cm ni-pm tafadhali

Sasa Mama Chacha hivo viwanja si niliskia vya sumaye? Au mzee chacha kanunua kwa sumaye? Je mnauza hadi kwenye lile dimbwi la maji au kule juu karibia na kanisani? Je jirani yenu mmasai ana taarifa kama mnauza hadi eneo lake? Isije ikatokea kama kule tegeta mzee chacha alivyoleta mabaunsa wakapigwa mapanga wakauliwa!
ufafanuzi plz!!
 
kuna master plan huko inakuja.... Hata ukinunua unanyimwa title, jaribuni muone
 
wewe utakua una tatizo la akili, naona shughuli zako zimekushinda unaanza kutapatapa unachokisema ni irrelevant na huna hoja ya kujibiwa. Nashauri tafuta kazi za kufanya kuliko kuropoka kama juha
 
kuna master plan huko inakuja.... Hata ukinunua unanyimwa title, jaribuni muone
wewe janja weed wa wapi? Ukisikia kigamboni unajua kote kuna master plan. Umewahi kufika toangoma kigamboni kwenye viwanja vya serikali? au mikwambe? Au kwa kua mdomo hulipii kodi umeamua tu kuropoka? Nakushauri kwa umri wako fikiri kabla ya kusema wanayoyajua mambo wanakudharau
 
King kongIII Kaharibu sana ....tafadhali safisha habari hii wengine tuko serious bana aukama kweli tunashukuru pia ila dhibitisha ukweli wake
 
wewe utakua una tatizo la akili, naona shughuli zako zimekushinda unaanza kutapatapa unachokisema ni irrelevant na huna hoja ya kujibiwa. Nashauri tafuta kazi za kufanya kuliko kuropoka kama juha

Ujajibu swali,mie kote napajua na wamiliki wa viwanja vyote nawajua kuanzia kongowe,njia panda ya jeshi,pius,kwa sako,msikitini,mwembe mtengu,fundi baskeli(kwa pinda),yatima(fun city),mali asili,mikwambe ccm,kwa sadala,kwa batash,kibada,gari bovu,full shangwe,mbuyuni,ungindoni,kibaoni,mjimwema,haya unataka twende kimbiji au turudi ferry?? Ngoja twende ferry maweni,kwa mwingira,chadibwa,pc,mikadi,msikitini,kwa mlaliji,machava,kisimani,mwembeni,kanisani,haya kona hapo shuka uvuke? Haya tuvuke sasa? Ok ngoja twende kimbiji,tuanzie mjimwema,kibugumo,gezaulole,mwongozo,gomvu,kimbiji...

Kote napajua huko na wamiliki wa estate wote nawajua nipo karibu na wenyekiti wa mitaa,sasa hilo shamba unaloliuza si la sumaye? Au Mzee chacha kalinunua? Au unataka niweke picha ya hilo eneo??
 
mimi mmilika halali na nina document zote zinazotakiwa, mtu aliye sereous ani pm tutafanya biashara huyo king kong ataumbuka hapa hapa. Kifupi anaoneka ni wale vijana wa mtaani wasio na kazi ndio maana ameweza kukariri vituo vya madaladala na kuzunguka kwa wenyeviti wa mtaa. Huyu ananjaa kwa kuwa hajapata kazi ya udalali anajua amekosa hela ndo maana yanamtoka maneno yote hayo. Hivi kwa m2 mwenye akili timamu unaweza kutangaza kuuza shamba la sumaye au lowassa? Kifupi hujaniaribia biashara nakuona punguani
 
Sasa Mama Chacha hivo viwanja si niliskia vya sumaye? Au mzee chacha kanunua kwa sumaye? Je mnauza hadi kwenye lile dimbwi la maji au kule juu karibia na kanisani? Je jirani yenu mmasai ana taarifa kama mnauza hadi eneo lake? Isije ikatokea kama kule tegeta mzee chacha alivyoleta mabaunsa wakapigwa mapanga wakauliwa!
ufafanuzi plz!!
eti umesikia are u sereous wewe king kong? unaonaje huyo aliyekwambia akudhibitishie na doc uzi-scan utuwekee humu kwa faida na manufaa ya wote? Nakushauri acha kukaa vibaradhani na kupost habari za kizushi utavalishwa dila mwanaume mzima aibu ikushike
 
Back
Top Bottom