Nauza Magic Pen

Skull App

Member
Jul 7, 2018
47
56
Jipatie Magic pen ambazo zinauwezo wa kuandika na kufuta iwe kwenye kaaratasi ya kawaida, karatasi ngumu (bodi paper) , inafuta pale ambapo umekosea ni bora na za kisasa zinapatikana Kitunda - Dar es Salaam kwa bei ya sh 500, karibuni sana

Tupigie 0714444844
IMG-20230825-WA0005.jpg
IMG-20230825-WA0004.jpg
 
Bongo buana, mtu biashara yake mwenyeweeeee, kimbembe kinakuja namna ya kuitangaza ili watu wavutike kununua...
 
mkuu maelezo hayajitoshelezi yaani nikushauri hivi:
Jipatie pen ambazo zinauwezo wa kuandika na kufuta iwe kwenye kaaratasi ya kawaida, karatasi ngumu (bodi paper) , inafuta pale ambapo umekosea ni bora na za kisasa zinapatikana .................... kwa bei ya sh............ karibuni sana
 
Back
Top Bottom