Nauza mafuta ya Queen Elizabeth karibuni

lov hurts

New Member
Sep 2, 2014
3
0
Queen Elizabeth ni yenyewe kwa ngozi nzuri..lain na yenye mvuto inapatika kwa jumla na rejareja karbuni.
 
queen elizabeth
 

Attachments

  • 1409943203942.jpg
    1409943203942.jpg
    39.5 KB · Views: 1,275
tatizo watu mnafanya biashara kwa uoga sasa kama upo serious lov hurts sema bei na yanapopatikana
 
Last edited by a moderator:
Cream hyo na ukianza kuitumia inabidi msiache.. Ukiacha ngozi itakuwa ya ajabu

vaseline. Johnson yatosha
 
Ahaaa.. Okay.. Maana thread ya lov hurts unajibu wewe ... Si unajua multiple ID kama bingwa Kitomari2

Biashara Ushindani Mkuu, Mjini Mipango ingia instagram uone majanga! Celebrity anaweka tangazo la kifo na picha ya mtu watu chini wanatangaza biashara Upo Hapooo
 
Last edited by a moderator:
Cream hyo na ukianza kuitumia inabidi msiache.. Ukiacha ngozi itakuwa ya ajabu

vaseline. Johnson yatosha

Sio Cream Ni Cocoa Butter 100%... Ndio maana fisadi fulani hapo bongo kaona sisi walala hoi tunaoleta kidogo kidogo tunafaidi kahamua kwenda Ivory Coast na ebola yote iliyojaa Kamwaga Mjini Container 50 za queen Elisabeth...Sijui hizo pesa anazoiba bungeni hazimtoshi mpaka kutuzibia rizki ss wenye mitaji midogo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom