Black ma colour
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 733
- 661
Sio Cream Ni Cocoa Butter 100%... Ndio maana fisadi fulani hapo bongo kaona sisi walala hoi tunaoleta kidogo kidogo tunafaidi kahamua kwenda Ivory Coast na ebola yote iliyojaa Kamwaga Mjini Container 50 za queen Elisabeth...Sijui hizo pesa anazoiba bungeni hazimtoshi mpaka kutuzibia rizki ss wenye mitaji midogo..
hahaha umenifurahisha kweli. vp huyo ni nani na anauza kwa shilingi ngap na anapatikana wap?
pia naomba unisaidie kuhusu hili.
1. mafuta haya wanaume wanaweza kutumia?
2. vp yanaondoa mikunjo kwenye paji la uso especially lie iliyo sambamba na pua..