- Thread starter
- #41
Kama unahitaji njoo na pesa kabisa, ukaguwe laptop, utapewa na proof of purchase, ukilidhika mauziano yanafanyika tena kwa mwanasheria au mwenyekiti wa mtaa.Proof of purchase ni muhimu kuonyesha. Mwenye kuleta ubishi ni wewe sababu maneno mengi wakati ishu ni simple thibitisha yale uliyoandika mwenyewe.
Mbona simple tu ndugu shida ipo wapi.
Utanunua kitu used bila kuwa na proof of purchase? Hata magari yana kadi inayotambulisha mmiliki, bila kuwa na kadi huwezi kuuza gari.