Nauza kiwanja eneo la burka kusini Arusha

bucho

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
5,113
3,117
Ndg wanajamii nauza kiwanja eneo la burka kusini lina upana wa mita 65 na urefu wa mita 120 sawa na heka 1 na nusu. mwenye kuhitaji anishtue.
 
bei ni 90m ndg yangu

Hiki kiwanja kitakuwa siyo vile vilivyopimwa kwa sababu bei viwanja vya 40 X 40 bein yake ilikuwa si chini ya 30 million

Kama 1600 squire meter --------------------30,000,0000
7800.=-------------------------------------????

Jibu ni 7800 X 30,000,000/1600 = 146,250,000
;
Market price ya 65m x 120 siyo chini ya TShs. 200 million.

Kwa kukurahisishia hicho kiwanja gawa mara sita upate viwanja 65 X 20 kila kimoja utauza si chini ya 30 million

Mkuu hivyo viwanja vya south burka vilikuwa vinauzwa T.Shs 10,000 per sq m
Kama cha kwako kina sq m 7800 ina maana bei yake ni mil 78,000,000.00
Duh kweli ardhi ni mali
ghafla bei ishapanda hivyo mkuu
 
Wakuu bei ya kiwanja haiwez kuwa vilevile thamani inapanda kila kukicha . Usishangae mwaka ujao ukaambiwa 150 .
 
tumekupata mkuu
ila wewe utakuwa fisadi
vingi ya vile viwanja tuliopata vilikuwa sq m 600 mpaka 800
mkuu una ekari moja na nusu
kweli we fisadi
 
tumekupata mkuu
ila wewe utakuwa fisadi
vingi ya vile viwanja tuliopata vilikuwa sq m 600 mpaka 800
mkuu una ekari moja na nusu
kweli we fisadi

ndg nimeonganisha viwanja ndo nikapata hiyo eka na nusu . Mkuu hujui nimeuza nini nikapata hela ya kununulia hicho kiwanja .
 
ndg nimeonganisha viwanja ndo nikapata hiyo eka na nusu . Mkuu hujui nimeuza nini nikapata hela ya kununulia hicho kiwanja .

Eheeeee, uliuza nini ndo ukanunua? Mi nahitaji kiwanja lakini eneo hilo sijawahi kufika! Napafahamu maeneo machache sana A-town kama Ngurero, Ora-city Garden, Arusha Airport! vipi nikipata number ya simu nimtume mdau aje akicheki? niPM namba yako.
 
ndg nimeonganisha viwanja ndo nikapata hiyo eka na nusu . Mkuu hujui nimeuza nini nikapata hela ya kununulia hicho kiwanja .

Sawa mkuu
hapa ni JF mkuu sio serious issue huo ni utani tuu
Nina kaplot hapo ka sq m 600
 
Eheeeee, uliuza nini ndo ukanunua? Mi nahitaji kiwanja lakini eneo hilo sijawahi kufika! Napafahamu maeneo machache sana A-town kama Ngurero, Ora-city Garden, Arusha Airport! vipi nikipata number ya simu nimtume mdau aje akicheki? niPM namba yako.

Mkuu ni Ngulelo na sio Ngurero na Olasiti na sio Orasiti
Hayo maeneo mkuu kupata ardhi kwa sasa ni issue na bei ziko juu mbaya
Maana ni maeneo ya Jiji kwa sasa na unajua tena lazima kupangike
Unaweza pata ila bei yake ni kichaa
 
ulinunua kwa hela halali lakini bado hukupwasa kupewa viwanja vyote ilikuwa ni kimoja kwa jina mmoja.
 
ulinunua kwa hela halali lakini bado hukupwasa kupewa viwanja vyote ilikuwa ni kimoja kwa jina mmoja.

nimekusoma na mimi nimenunua kwa watu tofauti na kuvionganisha kikawa kimoja sikupewa kwa pamoja vyote. kwahiyo punguza wasiwasi.
 
Sawa mkuu
hapa ni JF mkuu sio serious issue huo ni utani tuu
Nina kaplot hapo ka sq m 600

hongere mkuu . eneo lile ni zuri sana na lina view nzuri ya mt meru. kukimalizwa kujengwa kutakuwa ni sehemu nzuri sana ya kuishi.
 
Mkuu ni Ngulelo na sio Ngurero na Olasiti na sio Orasiti
Hayo maeneo mkuu kupata ardhi kwa sasa ni issue na bei ziko juu mbaya
Maana ni maeneo ya Jiji kwa sasa na unajua tena lazima kupangike
Unaweza pata ila bei yake ni kichaa

Ahsante mkuu,

Unajua tena mida imepita bila kufika pande hizo!! Ila napafagilia A-town vibaya sana. Huenda ndo ikawa destination yangu kikazi zaidi huku Dar joto, vumbi, maji shida, mikojo kila sehemu yaani kila aina ya kero zimejaa. Hope nitapata hata kule nyuma ya kisongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom