Nauza kituo cha kuuzia mafuta kinauzwa

Columbus

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,002
648
Kutokana na shida zangu binafsi nimeamua kuuza kituo cha mafuta maeneo ya Mlandizi,eneo lina hati kabisa.

Mijengo iliyopo ni ya kumalizia na pampu za mafuta ziko stoo ukizihitaji tutaongea.

Mwenye nia ni pm!
 
kwa faida ya wote unaonaje ukiweka bei hap?
 
Naona mshabanwa bandarini mmeamua kuuza vituo vyenu sio?

Sio kweli,mm nauza hiki kituo muda mrefu.
Kama unahitaji wewe ni pm tu acha longo longo na mizuka isiyo na tija.

Hicho kituo kina uwezo wa pump 8, pembeni kuna garage na super market. Eneo zima ni ukubwa wa hekari 2 hivi.
 
Mlandizi na pump 8 kisha advert humu JF...
Hapana kuna something hapo sio shida tuu zako binafsi...
 
Kutokana na shida zangu binafsi nimeamua kuuza kituo cha mafuta maeneo ya Mlandizi,eneo lina hati kabisa.

Mijengo iliyopo ni ya kumalizia na pampu za mafuta ziko stoo ukizihitaji tutaongea.

Mwenye nia ni pm!

VIPI MKUU NI HICHO KITUO KILICHOKO MADAFU, VISIGA KINA RANGI NYEKUNDU NA NYEUPE MKONO WA KULIA KAMA UNAENDA MLANDIZI KUTOKEA DAR? NAFAHAMU NDICHO KINA JENGO AMBALO HALIJAISHA, PM NAMBA YAKO TUFANYE BIASHARA
 
Kutokana na shida zangu binafsi nimeamua kuuza kituo cha mafuta maeneo ya Mlandizi,eneo lina hati kabisa.

Mijengo iliyopo ni ya kumalizia na pampu za mafuta ziko stoo ukizihitaji tutaongea.

Mwenye nia ni pm!

Bado kipo?
 
Back
Top Bottom