Nauza Jogoo wa Malawi na Mayai - Arusha

Njopa

Senior Member
Nov 18, 2010
192
30
Washikaji, nipo Arusha baada ya kusoma soma humu kwa forum nilianza ufugaji wa kuku aina ya Malawi sasa natafuta soko. wapi soko la mayai lakini pia nataka punguza jogoo ni wengi. Lakini pia bei zikoje kwa mayai na jogoo?

0786262635
 
Hongera sana Mpwa, hapa ndio mahali kamili pa kupata watu, nimefurahi sana kama ulijifunza jambo toka hapa na wewe ukalifanyia kazi, ni ushuhuda mzuri sana.

Next time badilisha mbegu maana hio ya Malawi hio yawezakuwa imetumwa ije kupeleleza kuhusu umiliki wa ziwa nyasa, sio wa kuamini hao lol(kidding)
 
Back
Top Bottom