Car4Sale Nauza Gari langu Nissan Tilda lina changamoto ndogo

Habari wakuu.
Ninauza Gari yangu Nissan Tilda Namba C.
Engine: cc1490

Gari haitembei Ina changamoto zifuatazo
- Badhi za sensa zimekifa nilimwita fundi akatazama na kubadili sensa, gari iliwaka vizuri na kutembea. Sikuwa na fedha ya kulipia hizo sensa hivyo fundi akarudishia zile Mbovu, jumla yake ni laki 2 kama utayengeneza

- Gari inachemsha tatizo sikuweza kilijuwa, na ndiyo tatizo lilionifanya niipack na kupelekea baadhi ya sensa kufa.

- Muungulumo wake ni mkali kidogo, so kwamba masega yalitowa hapana yapo, ila nadhani ni kubadili tu Bomba au kulizipa mahali palipo toboka.

Hakuna matatizo mengine zaidi ya hayo. Vifaa vyoye ni vizima.
Pia Gari nimeitunza vizuri tu.

Tatizo kuu ni hilo la kuchemsha nilishidwa kulekebisha kutokana na changamoto za kifedha.

Gari ipo: Chanika - Dar Es Salaam.
Bei ya mauzo ni Mil 2.5 (Milioni mbili na laki tano)

Mawasiliano 0620306221 (Piga au Sms nitakujibu).

View attachment 2627106View attachment 2627107View attachment 2627108View attachment 2627109View attachment 2627110View attachment 2627111View attachment 2627112View attachment 2627113View attachment 2627114View attachment 2627115View attachment 2627116View attachment 2627117
View attachment 2627106
Hii gari umeshauza au bado unayo?
 
Jamaa yangu mmoja alikupgia ukasema umeghairi kuuza!!! VIPI UNACHAGUA NI YUPI WA KUNUNUA GARI YAKO??!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom