Nauza gari jamani !!

Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,036
309
wajameni,nauza gari aina ya mitsubish GDI,Anaehitaji ani PM,TAFADHALI SANA
 
katika bidhaa zako huna helikopta?. natafuta helikopta moja ili kuepuka matatizo ya traffic nikienda kazini.
 
Shiing' ngapi unaliuza?.....If u really want to embark to that transaction, would you plz put its pics downhere!....Seeing is believing!...huh!
 
WHAT UR SAYING IS TRUE jIMMY WILL PUT THE PIC BY TOMMOR WILL HAVE THEN,BUT IKO POUWA NA NZURI,RANGI NI BLUE,TO START WITH 10.5M
Shiing' ngapi unaliuza?.....If u really want to embark to that transaction, would you plz put its pics downhere!....Seeing is believing!...huh!
 
Hiyo sina ndugu but perfume,mashart,laptops.etc na dili na hivyo,but gari its langu personal
katika bidhaa zako huna helikopta?. Natafuta helikopta moja ili kuepuka matatizo ya traffic nikienda kazini.
 
Unauza gari mitsubish GDI sasa hii pajero IO au Chariot grandis au ...................
be specific mzee
 
mm c mzee bwana,mm dem,mistubish GDI,PAJERO IO,1998,BLUE GREY,DVD PLAYER.
Unauza gari mitsubish GDI sasa hii pajero IO au Chariot grandis au ...................
be specific mzee
 
mm c mzee bwana,mm dem,mistubish gdi,pajero io,1998,blue grey,dvd player.
kweli wewe demu!!.
Tupe vitu vya msingi:
odometer inasomaje?
ya mwaka gani??
cc ngapi??
Transmission yake ni manual au automatic??
Etc.
 
Trasnsimition automatic,cc 1800,mwaka 1998,odometer laki 1200
kweli wewe demu!!.
Tupe vitu vya msingi:
odometer inasomaje?
ya mwaka gani??
cc ngapi??
Transmission yake ni manual au automatic??
Etc.
 
wajameni,nauza gari aina ya mitsubish GDI,Anaehitaji ani PM,TAFADHALI SANA

Pearl hakuna gari inaitwa Mitsubishi GDI labda kama umeitengeneza mwenyewe!!! GDI ni aina ya system za Fuel Injection kwenye injini kwa gari za Mitsubishi zinazotumia petroli, gari za toyota zinatumia VVTI au D4 etc!!!

Weka jina halisi la model ya hiyo Mitusbishi afu uweke pia picha at least ndo utaonekana unaelewa kitu unachokiuza otherwise utaonekana msanii tu hapa JF!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom