Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,412
- 4,558
mmmmmmmmmmmmmh thats very true
Nikupe Raum ya mwaka 2000. km 67,000. for Exchange?
mmmmmmmmmmmmmh thats very true
ww vip?nimekwambia the car of my dream ni Nissan Safar,Raum nipeleke wapi?
The day my girlfriend will give me the red statement. she may kiss her grave. am sorry if I offended you with my beatifull offer. ukipata mteja ni PM! ukipta sana 7.5m. peleka hata pale mnazi mmoja kwa madalali maarufu wa magari usikie utaambiwa nini? watakwambia tuacie tukupe 7m. if anything just PM me hayo magari nayajua sana!! na soko la Bongo nalijua sana!! 10m is too much for that Car. shusha bei uza haraka. hicho ni kimeo. kinakufa rangi bado inang'aa!! kuna gereji ya jirani naona zimepaki mbili zinang'aa utafikiri ziko show room!!!
lakini mzee biashara na wewe ukiwa UJERUMANI,dah!itawezekana?
Always welcomed. gonna PM you for businesskiukweli u real offended me,AM REAL SORRY IF YOU TOOK IT TOOOOOOOO PERSONAL,it was a jok,thx for advice but.
Ukitaka niambie uje kuiona
Mm nafika dau nina mil 1.5 cash
Aisee. i think am late. Limeshachukuliwa? NiPM pleasewajameni,nauza gari aina ya mitsubish GDI,Anaehitaji ani PM,TAFADHALI SANA
wewe dem? umeolewa? au una mchumba wa kueleweka?mm c mzee bwana,mm dem,mistubish GDI,PAJERO IO,1998,BLUE GREY,DVD PLAYER.
hivi wachumba wa kueleweka wakoje?wewe dem? Umeolewa? Au una mchumba wa kueleweka?
hivi kwa nini watanzania tunawaachia mafundi watuamulie gari lipi zuri na lipi baya?kama fundi wa kijiweni kashindwa kutengeneza gari does it qualify as a bad car?
i thought reliability,fuel consumption,security,cost of ownership etc were used to justify bad cars from good ones,not failure of an untrained mechanic to fix a car he has no idea how to.
wito kwa mafundi,jiungeni muwaite wawakilishi wa makampuni husika waje nchini kuwapa training,na faida mnazopata mzitumie kununua vifaa.
miaka 5 ijayo magari wanayoendesha watu dunia ya kwanza yatawashinda kutengeneza!
nimeona hii trend siku hizi,gari likiwa na direct injection,linaitwa kimeo,likiwa na DOHC sijui INVECs linaitwa alinasumbua sana,likiwa na turbo ndio kabisa unaambiwa halifai.nyie mafundi vipi?!sasa kwa taarifa yenu yale magari ya 1980's yanaisha hatahuko japani.uzoefu hautatosha.elimu ndio itawatoa.
kw aupande mwingine wito kwa serikali ku-control monopoly ya Toyota,we all know they make reliable cars(of course not the ones found in Dar streets,rather EU,US etc).Lakini hii monopoly yao TZ haitusaidii sisi inatuumiza,ndio maana leo ukiachilia toyota may be Honda,na Mitsubishi kampuni nyingine hamna spareparts kabisa.kwa nini??!!TOYOTA dominated market.
we need even market,ili kuondoa huu ujinga wa kununua gari kwa sababu ni Toyota.Gari unalipenda lakini how can one be expected to drive a subaru in dar?unless anatafuta frustrations za spare na proper maintanance.
...Ina specifications gani maze?? Bei gani? Imetengenezwa mwaka gani?wajameni,nauza gari aina ya mitsubish GDI,Anaehitaji ani PM,TAFADHALI SANA
Jamani hayo ma mitsubishi si humu ndani tulishauriwa tusiyanunue kwa kuwa ni magumu sana kuyahandlena kuyatengeneza?
Mi nikilinunua naomba unipe na speshalisti wake kabisa.