Nauza engine ya Mitsubishi Pajero Mini

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
705
Waungwana

Ninauza engine ya gari yangu, Mitsubishi Pajero Mini. Ni nzima, anayetaka kuiona anitwangie PM au SMS, 0786-019019. Bei yake ni chini ya bei ya soko. Ukienda pale Ilala, Mtaa wa Lindi (kwenye maduka ya used auto spares) bei yake si chini ya TZS 1,600,000/=! Mimi naua TZS 1,000,000/=!

Asanteni kwa ushirikiano wenu.
 
Mie nataka engine ya CANTER 32 au 33 kama unayo mkuu tuongee biashara na hiyo iko na power gani kaka?
 
Engine ina uwezo wa 960 cc. Ni engine ndogo, kwa wale wenye magari aina haya, yanayojulikana kama Kei Car (neno la Kijapan), ni magari ambayo yana high fuel economy, yaani, hayatumii mafuta mengi.

Kwa mawasiliano zaidi, nitafute kwa simu.
 
nashukuru mkuu, vipi kuna uwezekano wa kupata engine ya 4D56 turbo? ni Mitsubishi pia
 
Back
Top Bottom